Puuzeni taarifa za uteuzi wangu. Mimi ni Mwanachama wa kawaida na wala sina cheo ndani ya CCM

Kuna hoja huwa haujibu kabisa Luka. Hasa zinapokuwa mwiba kwako na serikali. Huwa inakuwaje? Huoni kuwa wewe ni chawa tu wa kawaida ?
 
Mimi silipwi kitu chochote kile zaidi ya kufanya kazi yangu kwa uzalendo na kwa kujitolea
Una kazi nyingine zaidi ya hii? Inayokuingizia kipato? Maana muda wote upo na kitendea kazi chako kuleta habari za kichawachawa. Ukiulizwa mambo ya masingi ambayo ccm inatuhumiwa kulitendea taifa hili haujibu!
 
Ha ha haaaaa
Haukutakiwa kujitetea 😅😅😅

Wengine tumo hadi kesho tunasingiziwa sijui mimi nani sijui nani

Ila muda wa ushabiki unakaribia.. INSHALLAH

Nitaburudika tena kama kawa..
 
SiO kwanza unapiga mwano ili wakuu waone jitihada zapis tomu jamvini😅😅😅😅
 
Au wewe ni moja ya wazee wanaoitwaga kupewa mikono ya shukrani (Unga na Mchele) Kifichoni kwaajili ya kishika kura😁!!!?

Ebwana Luckaeeeh usituuze kwa bei nafuu hivyo ndugu yetu
 
Unalia kwa kububujikwa na machozi ukiwa mbozi au Uyole au Songwe?
Weka no ya simu ukumbukwe huku unasikitika sana.
 
Akili kama hii unateua jinga kulipeleka wapi? Kafie mbali jinga na kuwadi la matapeli. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketee
 
Lucas, mbona ingalitosha tu kama ungalitumia sentensi moja tu, tena na yenye aya kama mbili kufikisha ujumbe wa kile ambacho wewe unaamini kuwa ni uzushi wa taarifa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…