Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
sasa wewe ndio kati ya wale misukule waliobaki hapa duniani.
[emoji84][emoji84]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa wewe ndio kati ya wale misukule waliobaki hapa duniani.
wange muua tuu
Haaha kabisa mkuuu tuliwahi kuwa mafunzoni sehemu mtoto tembo akaanza kutuletea nuksi anatufata kutukimbilia mama ake akaona sio kweli wanamfanyaje mwanngu aliharibu sana hali ya hewa lile eneo mpaka kuondoka watu tuliteseka sanaMama yake angewakuta apo saivi tungekua na list ya askari waliopoteza maisha in the line fire
Sawa hata ukiwataja hao Askari pori ma migambo hakuna offer au zawadi yoyote hayo ni majukumu yao waendelee kufanya kazi kwa bidii na maarifaMnamo tarehe 11/09/2023 majira ya saa 2:22 asubuhi Ofisi ya Pori la Akiba Wamimbiki ilipokea taarifa toka kwa mwananchi aitwaye Manase Thomas Baha wa Kijiji cha Kwamsanja, Kata ya Kibindu, Halmashauri ya Chalinze. Taarifa ilisema kuna mtoto wa tembo amenasa kwenye shimo lenye tope na maji katika mashamba pori yaliyo jirani na hifadhi na tembo wenzake wamemtelekeza.
Hatua iliyochukuliwa
Askari wahifadhi 4 na Askari Mgambo 6 walifika eneo la tukio na kufanikiwa kumuokoa huyo mtoto wa tembo akiwa mzima japo alionekana kuchoka sana. Baada ya kuokolewa tembo mtoto alitokomea msituni kwa uelekea aliko wenzake. Jiranukta eneo la tukio ni 37M 0391937, UTM 9332982
Askari wahifadhi waliofanya kazi hii:
1. CRII Mushi I. O (I/C)
2. CRII Madaraka F. M.
3. CRII Mikomangwa D. M.
4. CRII Mutashyoba V. J.
Askari Mgambo na VGS ni;
1. VGS ISSA BIGO
2. MG 449455 RAJABU ALMASI
3. MG 493385 ANDREW HENRY
4. MG 581143 MRISHO RAJABU
5. MG 551826 IDD KAYANDA
6. MG 551814 FURAHA JUMA
View attachment 2747073