Pwani: Polisi wakamata noti bandia za milioni 13

uhalisia wa noti halali upo kwenye karatasi na wino unaotumika kuchapisha noti. Noti halali ukiikunja inarudi na pia ukitumia UV light inaonekana rangi tofauti.
UV light mimi siijui wala sijawahi kuiona. Sijui hata inauzwa duka gani. Tutapigwa sana awamu hii
 
Kuelekea uchaguzi wa wizi wakura 2025 tutakutana na mengi, tuwe wavumilivu.
Mama yule uwezo wa kutafsiri na kuyaona haya hana.
 
Bado mitambo mizuri zaidi na ya kisasa kama hii, watakutana nazo huko* Arusha na Kilimanjaro.*
Unguja na Pemba watakuwa wamelala usingizi.
 
Aisee
Hao wanaturudishia uchumi wetu nyuma sana sana
 
Ndio unakutana nazo kama tatu ivi utakausha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚au utavizia kwa mangi usiku umuuzie mzigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…