Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Ukifuatilia Historia utagundua himaya na tawala maarafu huanzia au hujikita pwani katika bahari, maziwa na mito mikubwa.
Watu wa Pwani mara nyingi ndio huwa chanzo cha civilization, tawala na himaya. Majiji huanzia pwani, kikawaida tu watu wa Pwani huwa wajanja zaidi kuliko watu wa bara.
Hata Waafrika tulitawaliwa baada ya wazungu kujua kucheza vizuri bahari.
Uingereza, Hispania, Ureno, Ufaransa na Ujerumani waliotawala Dunia ni mataifa ya kipwani zaidi. Hata Zanzibar ni taifa la kipwani