Kumbe ni pumbula la vijijini ndio maana ujinga ujinga mwingiPwani hamna elimu, hamna ujanja kuna ushamba tu
Ni kweli... na ushahidi ni huu ... https://www.jamiiforums.com/threads...-chache-ila-div-iv-na-div-zero-nyingi.409812/Watu wa Pwani mara nyingi ndio huwa chanzo cha civilization, tawala na himaya. Majiji huanzia pwani, kikawaida tu wa watu wa Pwani huwa wajanja zaidi kuliko watu wa bara.
Hata Zanzibar ni taifa la kipwani
Sawa.Ukifuatilia Historia utagundua himaya na tawala maarafu huanzia au hujikita pwani katika bahari, maziwa na mito mikubwa.
Watu wa Pwani mara nyingi ndio huwa chanzo cha civilization, tawala na himaya. Majiji huanzia pwani, kikawaida tu watu wa Pwani huwa wajanja zaidi kuliko watu wa bara.
Hata Waafrika tulitawaliwa baada ya wazungu kujua kucheza vizuri bahari.
Uingereza, Hispania, Ureno, Ufaransa na Ujerumani waliotawala Dunia ni mataifa ya kipwani zaidi. Hata Zanzibar ni taifa la kipwani
Teh teh teh!! Usilolijua litakusumbua. Pwani Ina elimu kubwa mno. Weye sikiliza ya wanaojitia kujua tu!!Pwani hamna elimu, hamna ujanja kuna ushamba tu