Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Very sadful
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Who is this Oya?Na ndio lengo la serikali ya CHURA kwa watanganyika. BOT haina meno zidi ya hz kampuni zenye asili ya znz. Na bado mpk muishe watanganyika.Ukijua jina la mmiliki wa kampuni hii na watu wake wa karibu lazima udate tu.
All the best
Hauko sawa kichwaniNa ndio lengo la serikali ya CHURA kwa watanganyika. BOT haina meno zidi ya hz kampuni zenye asili ya znz. Na bado mpk muishe watanganyika.Ukijua jina la mmiliki wa kampuni hii na watu wake wa karibu lazima udate tu.
All the best
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani, linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za mauaji ya Juma Mfaume (40), Mfanyabiashara na mkazi wa Mbagala Mlandizi.
Tarehe 07-10-2024 katika Kitongoji cha Mbagala, Wilaya ya Kipolisi Mlandizi, Mkoa wa Pwani, watu wanne ambao ni wafanyakazi wa kampuni ya mikopo ya OYA, walifika nyumbani hapo kwa lengo la kudai fedha za marejesho ya mkopo kwa mke wa Juma Said Mfaume aitwaye Khadija Ramadhan.
Baada ya kufika nyumbani kwa Juma Mfaume, ailiwaelekeza kuwa mkewe hayupo lakini watuhumiwa hao walilazimisha kuingia ndani kwa nguvu huku wakimshambulia sehemu mbalimbali za mwili kwa kutumia fimbo na baadae Bw. Mfaume, alianguka na kupoteza fahamu.
Kutokana na hali hiyo watuhumiwa walimbeba, Juma Mfaume kwa kutumia gari lao ili wampeleke hospitali na alifariki akiwa anapatiwa matibabu katika kituo cha Afya cha Mlandizi. Mwili wa marehemu ulifanyiwa uchunguzi na daktari kisha kukabidhiwa kwa taratibu za mazishi.