Pyramid tunaingia Bongo kuchukua mwali wetu Yanga SC

Pyramid tunaingia Bongo kuchukua mwali wetu Yanga SC

[emoji126][emoji126][emoji126]
Mama wa nyumbani kazi yao ni majungu. Akipita mwanaume wamjadili, msamehe tu...kukaa tu nyumbani kunachosha
a00f18ba9bc9d8e01d20756b345b2209.jpeg
 
Azam FC, Gwambina, Mwadui, Mtibwa Sugar, nk Wamejenga Viwanja vyao na hawalalamiki nawe Jenga cha kwako punguza wivu!
 
Hahahaaa. Nilikuwa namkumbusha kwamba mmezichezea sana hizo 5 5 mwaka jana.
Yale magoli tulitokua tunafungwa wakati ule yalikuwa wala hayawasaidii wapinzani wetu. Kwani wale Vita FC waliishia wapi? Si walikufa pale kwa Mkapa mchana kweupee na tukawatupa nje ya mashindano? Simba ilikua inacheza kwa malengo Shadeeya
 
Sawa, ila mkono aibu mkuu. Ujue ni Simba tu ndio ilipigwa 55.
 
Back
Top Bottom