Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haijalishi Mtani. 90mins ndio zitaongea.Mtaani pyramid wiki hii yote chakula chao ni juice ya tende na karanga [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahahahahah Aisee sina la kuongeza.Mtani nenda kanunue Misri zipo.
UD Songo walikula nini?Mtaani pyramid wiki hii yote chakula chao ni juice ya tende na karanga [emoji23][emoji23][emoji23]
walipaka vumbi la kongoUD Songo walikula nini?
Mama wa nyumbani kazi yao ni majungu. Akipita mwanaume wamjadili, msamehe tu...kukaa tu nyumbani kunachosha
Ukirudi tiketi yako ninayo Mtani ili ukawashangilie vizuri. 🤣🤣Hahahahahahahahah Aisee sina la kuongeza.
Nimecheka sana Wallah, kumbe ndio mtakazopigwa hizo?🤣🤣🤣
Hahahaaa. Nilikuwa namkumbusha kwamba mmezichezea sana hizo 5 5 mwaka jana.Nim
Nimecheka sana Wallah, kumbe ndio mtakazopigwa hizo?🤣🤣🤣
Yale magoli tulitokua tunafungwa wakati ule yalikuwa wala hayawasaidii wapinzani wetu. Kwani wale Vita FC waliishia wapi? Si walikufa pale kwa Mkapa mchana kweupee na tukawatupa nje ya mashindano? Simba ilikua inacheza kwa malengo ShadeeyaHahahaaa. Nilikuwa namkumbusha kwamba mmezichezea sana hizo 5 5 mwaka jana.
Hiyo ni Mpaka half timePyramid 7 Churachurani 0
OKW BOBAN SUNZU
Goli 1 hao warudi kwao. Lazima wakae. Uzalendo kwanza acha kabisa mambo ya Simba na Azam.
Karanga mbichi mkuu!!!UD Songo walikula nini?
Sawa, ila mkono aibu mkuu. Ujue ni Simba tu ndio ilipigwa 55.Yale magoli tulitokua tunafungwa wakati ule yalikuwa wala hayawasaidii wapinzani wetu. Kwani wale Vita FC waliishia wapi? Si walikufa pale kwa Mkapa mchana kweupee na tukawatupa nje ya mashindano? Simba ilikua inacheza kwa malengo Shadeeya
Yaani nina uzalendo na Simba tu
Hata Taifa Stars nimewachoka, ije Yanga Yanga