Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watu wanadhani bill20 ikiwa nyingi kwao labda na wengine itakua hivyo pasipo kujua kuna watu bill 20 kwao sio issue kabisaMko dunia ipi, mnafikiri hivi vijisent vyenu ndo mna hela, watu wana pesa nyie sio vipesa...pesaa...wewe unashangaa bilioni 20, ?!
watu wanadhani bill20 ikiwa nyingi kwao labda na wengine itakua hivyo pasipo kujua kuna watu bill 20 kwao sio issue kabisa
Na boss wa yanga nae ahaidi bilion kila goli watakalofunga.. kama mbwai na iwe mbwai
mkuu pyramid wakitolewa na nani..??
Leo ndio leo Mtani.
Hawa kuwakomoa ni kutoingiza timu kabisa tuone hayo magoli watayatoa wapi!!
na kesho yanga inamkosa beki kisiki yohondan sijui itakuwaje
Usiku wa deni........................Naona mashabiki wa Pyramids mnajiuliza na kujijibu wenyewe.
AiseeeeeeeeeeeLeo ndio leo Mtani.
Sometime uwa naisi ni chai tena chai kavu hv ni bilioni 20 nazozijuwa mm au maana nina wakika ata wakichukua ilo kombe zawadi haifiki ata bilioni 12.