Pyramid waahidiwa milioni 500 kwa kila goli watakalofunga dhidi ya Yanga

Pyramid waahidiwa milioni 500 kwa kila goli watakalofunga dhidi ya Yanga

Mko dunia ipi, mnafikiri hivi vijisent vyenu ndo mna hela, watu wana pesa nyie sio vipesa...pesaa...wewe unashangaa bilioni 20, ?!
watu wanadhani bill20 ikiwa nyingi kwao labda na wengine itakua hivyo pasipo kujua kuna watu bill 20 kwao sio issue kabisa
 
Na boss wa yanga nae ahadi bilion kila goli eatapalofunga.. kama basi na iwe mbwai
 
Hawa Pyramid sio watu wazuri, pamoja na kushinda uku kwetu bdo wanawaihidi wachezaji pesa zote hizo ili sisi Yanga tufungwe goli nyingi au?
 
nadhani viingilio vinamlipa
Sometime uwa naisi ni chai tena chai kavu hv ni bilioni 20 nazozijuwa mm au maana nina wakika ata wakichukua ilo kombe zawadi haifiki ata bilioni 12.
 
Unaijua zawadi ya bingwa wa VPL? Kwa hoja yako hii utasema hakukuwa na haja ya SIMBA kusahili kikosi cha msimu uliopita (1b)
Sometime uwa naisi ni chai tena chai kavu hv ni bilioni 20 nazozijuwa mm au maana nina wakika ata wakichukua ilo kombe zawadi haifiki ata bilioni 12.
 
Back
Top Bottom