Pyramid waahidiwa milioni 500 kwa kila goli watakalofunga dhidi ya Yanga

Kama we mzee wa kubet mechi Hii moja inaweza kukutoa kimasomaso weka pyramid mwenyewe apate 3+ odd zinafika 3
 
Kumbe nyie watu walivuna sana mlipoenda huko? Yanga hata tukiwa na changamoto hatuwezi kula viganja kama mikia
 
Sometime uwa naisi ni chai tena chai kavu hv ni bilioni 20 nazozijuwa mm au maana nina wakika ata wakichukua ilo kombe zawadi haifiki ata bilioni 12.
Acha wadanganyane,wanadhani pesa ni makaratasi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…