wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Naona wamemlisha maneno boss wa pyramids.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangeijua timu yetu wala wasingejishughulisha na mihela yote hiyo!
Ndio ndio 💃💃💃💃Usiku wa deni........................
sa 1 jionJamani hivi gemu ni saa ngapi?
😂😂😂😂Wangeijua timu yetu wala wasingejishughulisha na mihela yote hiyo!
Si kweli no saa tatu usikusa 1 jion
Inawezekana Manula alikuwa anafanya hivyo nini?Hapo ningekuwa mi ndio kipa wa yanga ningeongea na mshambuliaji mmoja anipe milioni 10 tu niwaachie gori 7 kiulaini
Acha wadanganyane,wanadhani pesa ni makaratasi tuSometime uwa naisi ni chai tena chai kavu hv ni bilioni 20 nazozijuwa mm au maana nina wakika ata wakichukua ilo kombe zawadi haifiki ata bilioni 12.