Pyramid waahidiwa milioni 500 kwa kila goli watakalofunga dhidi ya Yanga

Pyramid waahidiwa milioni 500 kwa kila goli watakalofunga dhidi ya Yanga

brokeni

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2014
Posts
412
Reaction score
279
Boss wa Pyramid awaahidi wachezaji wa timu yake milioni 500 kwa kila goli litakalofugwa na pia atatoa bilioni 20 endapo Pyramid itafanikiwa kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga Fc

IMG_20191102_195941_446.jpeg
 
Attachments

  • Screenshot_2019-11-02-19-58-43.jpeg
    Screenshot_2019-11-02-19-58-43.jpeg
    91.9 KB · Views: 2
  • IMG_20191102_195941_446.JPG
    IMG_20191102_195941_446.JPG
    106 KB · Views: 2
Sometime uwa naisi ni chai tena chai kavu hv ni bilioni 20 nazozijuwa mm au maana nina wakika ata wakichukua ilo kombe zawadi haifiki ata bilioni 12.
mkuu mbona uwekezaj mara nying unazidi zawad zinazotolewa
 
Mpira ni pesa...watu kama hawa ndio wanapaswa kuongoza Manchester united, pesa ndio iongee then uinjoi mafanikio,
 
Sometime uwa naisi ni chai tena chai kavu hv ni bilioni 20 nazozijuwa mm au maana nina wakika ata wakichukua ilo kombe zawadi haifiki ata bilioni 12.
Mko dunia ipi, mnafikiri hivi vijisent vyenu ndo mna hela, watu wana pesa nyie sio vipesa...pesaa...wewe unashangaa bilioni 20, ?!
 
Back
Top Bottom