Pythagoras tajiri alie kufa kisa kuogopa maharage

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Je unamjua Pythagoras?, huyu mtu alikuwa ni Genius sana watu wa Mathematicx/Hesabu wanamfahamu

Pythagoras alikuwa na tatizo la phobias(uoga wa kitu fulani) alikuwa anaogopa sana maharagwe,yani kuyaona maharagwe kwake ilikuwa sawa na wewe kukutana na Simba

Kutokana na umaarufu na utajiri wake alionao alivamiwa na majambazi nyumbani kwake lakini alifanikiwa kuwatoroka, wakati walipokuwa wana mkimbiza kwa bahati mbaya alienda kutokea kwenye shamba la maharagwe, kutokana na kuyaogopa sana alikubali kukamatwa na kupelekea kifo chake, inadaiwa alifariki kati ya miaka ya 450B.C Au 500B.C

By magical power
1730004750324.jpg
 
By magical powerView attachment 3136220
Hakupoga hesabu hapo akawakimbia hao watesi wake ??alale pema hesabu tunazitumiaaa....kuwapiga Iran huko
 
Je unamjua Pythagoras?, huyu mtu alikuwa ni Genius sana watu wa Mathematicx/Hesabu wanamfahamu

Pythagoras alikuwa na tatizo la phobias(uoga wa kitu fulani) alikuwa anaogopa sana maharagwe,yani kuyaona maharagwe kwake ilikuwa sawa na wewe kukutana na Simba

Kutokana na umaarufu na utajiri wake alionao alivamiwa na majambazi nyumbani kwake lakini alifanikiwa kuwatoroka, wakati walipokuwa wana mkimbiza kwa bahati mbaya alienda kutokea kwenye shamba la maharagwe, kutokana na kuyaogopa sana alikubali kukamatwa na kupelekea kifo chake, inadaiwa alifariki kati ya miaka ya 450B.C Au 500B.C

By magical powerView attachment 3136220
Mbona mnaongopa mchana kweupe? Aisee hivi vi-online TV vya Bongo ni janga. Wengi hawaelewi lugha ya mama, hivyo wakisimuliwa jambo wanalichukuwa hivyo hivyo na pengine kuliongezea chumvi, halafu wanaanza kulisambaza. Elimu yetu kweli ni mzigo. Hili uliloelezea umeongoza chumvi na magadi na mtu akisoma atadhani wewe ni shahidi uliyekuwepo. Ukweli ni kwamba kifo chake hakijulikani kwa uhakika kilitokeaje na haya maelezo uliyotoa ni moja ya ''myth'' zinazoelezea kifo chake japo wewe umeongezea na kugeuza hiyo ''myth'' ili lengo lako litimie.
 
Je unamjua Pythagoras?, huyu mtu alikuwa ni Genius sana watu wa Mathematicx/Hesabu wanamfahamu

Pythagoras alikuwa na tatizo la phobias(uoga wa kitu fulani) alikuwa anaogopa sana maharagwe,yani kuyaona maharagwe kwake ilikuwa sawa na wewe kukutana na Simba

Kutokana na umaarufu na utajiri wake alionao alivamiwa na majambazi nyumbani kwake lakini alifanikiwa kuwatoroka, wakati walipokuwa wana mkimbiza kwa bahati mbaya alienda kutokea kwenye shamba la maharagwe, kutokana na kuyaogopa sana alikubali kukamatwa na kupelekea kifo chake, inadaiwa alifariki kati ya miaka ya 450B.C Au 500B.C

By magical powerView attachment 3136220
Kamba 2 Kamba Mexicana LaCavela 😁
 
Back
Top Bottom