Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Je unamjua Pythagoras?, huyu mtu alikuwa ni Genius sana watu wa Mathematicx/Hesabu wanamfahamu
Pythagoras alikuwa na tatizo la phobias(uoga wa kitu fulani) alikuwa anaogopa sana maharagwe,yani kuyaona maharagwe kwake ilikuwa sawa na wewe kukutana na Simba
Kutokana na umaarufu na utajiri wake alionao alivamiwa na majambazi nyumbani kwake lakini alifanikiwa kuwatoroka, wakati walipokuwa wana mkimbiza kwa bahati mbaya alienda kutokea kwenye shamba la maharagwe, kutokana na kuyaogopa sana alikubali kukamatwa na kupelekea kifo chake, inadaiwa alifariki kati ya miaka ya 450B.C Au 500B.C
By magical power