Haya ni mbo yenu ya huko Instagram usilete ujinga wako huku JF.Toka nianze kumsikia Mange Kimambi mtandaoni, nimeona asilimia kubwa ya watu huamini kila anachosema.
Kwanini kila habari yake inakuwa verified kuliko nyingine?
Au ni watu ni ile tabia ya kupenda kusikia tu kile tunachotaka kusikia ndio kinaoeleka kuamini na kuthibitisha kila anachosema?
Au pengine tumeungana kuwa comrades kwa kuattack upande mmoja ndio maana tunakubali lolote tu ili yule tunaye mshambulia aumie?
Kipi kinakufanya uamini kile anachosema kuliko neno la Yesu!?
basi tufanye nakuogopa wewe.Haya maneno ya nyuma ya keyboard wewe hauko huko unako taja unaogopa kusema ulipo ukweli mange akubarika dar kuliko sehemu nyingine
Nimeiona hiyo tangu jana.Badamu batamwagikaaaaaaaa
Ni kweli. Wanamsoma kule, vikiwauma wanakuja humu kujipoza!Msishangae wengi wanaozuga kumpoda hapa ndo followers wake kila siku wanashinda kweye page yake
Kwa leo bado hajaliamsha dude, amemtakia HBD njema Mh. JK, na pia amesema marehemu Babake na JK walikuwa like brothers.Mange kasema nini tenaa..?
Toka uanze kumsikia au kumfuatilia??
Habari yake inakuwa verified kulinganisha na ya nani??
Neno la Yesu limeingiaje hapa?? Mange kawa mchungaji siku hizi??
Nimegundua kitu, mange ni kama maji, usipo yanywa basi utayaoga. Ni usela mavi wa baadhi ya member humu kujifanya hawamfuatilii kumbe ndiyo informer wao.
Namkubali sana mange
hahahaha nimekuelewaMange muongo kweli Kadanganya Makonda Kafoji vyeti, Ndege yetu imekamatwa
We dada mungu anakuona
Kumpaisha kwa lipi sasa? ina maana hata wewe nikijutangazia ni mchawi pia nitakuwa nakupaisha?Kwa taarifa yako huu UZI wako unazidi kumtangaza MANGE na hata ambao hawamjui wataingia IG kumtafuta na kum-follow!
Waliokutuma wamekosea strategy coz unazidi kumpaisha!
Sawa, ni jambo zuri.Kwa leo bado hajaliamsha dude, amemtakia HBD njema Mh. JK, na pia amesema marehemu Babake na JK walikuwa like brothers.
Tatizo ana block watu wenye kumpinga.Mange ni mwanaharakati,pamoja na watu kujifanya wanamponda lkn ukweli wengi wao ndo wasomaji wake wakubwa..! Mange kinachomfanya avutie watu wengi,anafanya utafiti wa habari zake. Habari zake nyingi ukifuatilia,huwa zina ukweli. Anaweza kuibua jambo na watu wakaona km umbea,lkn baadae inakuja kuwa kweli. Mifano ipo mingi tu. Kwa sasa story ni kuhusu diamond kurejea ktk penzi na wema. Ameibua jana hiyo story,wema amekanusha,ngoja tuvute subira tutajua ukweli wa mange!