Q&A, kwanini kila habari ya Mange ni verified kuliko nyingine?

Q&A, kwanini kila habari ya Mange ni verified kuliko nyingine?

jibu Ni rahisi, nyie wenyewe ndio mnampa. mnashindwa pa kusemea. mmebanwa na mkono Wa JPM
 
Toka nianze kumsikia Mange Kimambi mtandaoni, nimeona asilimia kubwa ya watu huamini kila anachosema.

Kwanini kila habari yake inakuwa verified kuliko nyingine?

Au ni watu ni ile tabia ya kupenda kusikia tu kile tunachotaka kusikia ndio kinaoeleka kuamini na kuthibitisha kila anachosema?

Au pengine tumeungana kuwa comrades kwa kuattack upande mmoja ndio maana tunakubali lolote tu ili yule tunaye mshambulia aumie?

Kipi kinakufanya uamini kile anachosema kuliko neno la Yesu!?
Haya ni mbo yenu ya huko Instagram usilete ujinga wako huku JF.

Mange ID yake ni ipi hapa JF?
 
Kwani uki weigh taarifa zake katika pande mbili zile ambazo zinakuja kuwa right yaan truth inaji reveal itself after a time vs zile info ambazo alitoa baada ya muda zikagundulika ilikua uwongo/uzushi(kudanganya).Proportionality imekaaje hapo wananzengo??
 
4a0e7ba9f49ca2afed201d2592dddeba.jpg

Ndio huyo hapo!
 
Toka uanze kumsikia au kumfuatilia??
Habari yake inakuwa verified kulinganisha na ya nani??
Neno la Yesu limeingiaje hapa?? Mange kawa mchungaji siku hizi??

Nimegundua kitu, mange ni kama maji, usipo yanywa basi utayaoga. Ni usela mavi wa baadhi ya member humu kujifanya hawamfuatilii kumbe ndiyo informer wao.
7a236d68a4fe586017bf1b339cdb1ad1.jpg
 
Mange ni taasisi kwa sasa.wako watu wengi wanatoa habari kupitia huyo dada.na kwakweli kama unavyo jua ukweli unanguvu kuliko uongo.sasa usishangae hiyo nguvu iliyopo kwa huyo mange.ila ningeshauri kama kunajambo ambalo mange kasema na ni uongo au ukweli basi liweke hapa kwenye forum ili tulijadili na sio kuja na hoja ambayo ni general .
 
Wanaona gele wanaona gele wanaona gele lele by Mr. Nice enzi zileeee
 
Mange ni mwanaharakati,pamoja na watu kujifanya wanamponda lkn ukweli wengi wao ndo wasomaji wake wakubwa..! Mange kinachomfanya avutie watu wengi,anafanya utafiti wa habari zake. Habari zake nyingi ukifuatilia,huwa zina ukweli. Anaweza kuibua jambo na watu wakaona km umbea,lkn baadae inakuja kuwa kweli. Mifano ipo mingi tu. Kwa sasa story ni kuhusu diamond kurejea ktk penzi na wema. Ameibua jana hiyo story,wema amekanusha,ngoja tuvute subira tutajua ukweli wa mange!
 
Kwa taarifa yako huu UZI wako unazidi kumtangaza MANGE na hata ambao hawamjui wataingia IG kumtafuta na kum-follow!

Waliokutuma wamekosea strategy coz unazidi kumpaisha!
Kumpaisha kwa lipi sasa? ina maana hata wewe nikijutangazia ni mchawi pia nitakuwa nakupaisha?
 
Mange ni mwanaharakati,pamoja na watu kujifanya wanamponda lkn ukweli wengi wao ndo wasomaji wake wakubwa..! Mange kinachomfanya avutie watu wengi,anafanya utafiti wa habari zake. Habari zake nyingi ukifuatilia,huwa zina ukweli. Anaweza kuibua jambo na watu wakaona km umbea,lkn baadae inakuja kuwa kweli. Mifano ipo mingi tu. Kwa sasa story ni kuhusu diamond kurejea ktk penzi na wema. Ameibua jana hiyo story,wema amekanusha,ngoja tuvute subira tutajua ukweli wa mange!
Tatizo ana block watu wenye kumpinga.
 
Back
Top Bottom