You are smart.Don't underestimate the power of stupid people in a large group
Ameewalipa akina nan na wapi, na kwa njia gn, # bila shaka we n mke wa alikiba!!!!Yaani Diamond ana roho mbaya sana, anawalipa watu pesa ili wasiangalie video za Ali Kiba kwenye YouTube? Ndio maana kazaliwa Manzese
Umechelewa siti mkuuAiseee
Ulifanya nn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wengne u mwaka 1 na nusu tulisha kula block kitamboo Kama ni kweny mapenzi tuna sema tusha move on [emoji23][emoji23] kumb bado yupo nlkua sha msahau
Labda anaubia na dawasco"Huku maji hayatoki siku ya tatu"Please Hide my ID...sasa sijui yeye ndio atawapelekea maji!!
Mange ni mwanaharakati,pamoja na watu kujifanya wanamponda lkn ukweli wengi wao ndo wasomaji wake wakubwa..! Mange kinachomfanya avutie watu wengi,anafanya utafiti wa habari zake. Habari zake nyingi ukifuatilia,huwa zina ukweli. Anaweza kuibua jambo na watu wakaona km umbea,lkn baadae inakuja kuwa kweli. Mifano ipo mingi tu. Kwa sasa story ni kuhusu diamond kurejea ktk penzi na wema. Ameibua jana hiyo story,wema amekanusha,ngoja tuvute subira tutajua ukweli wa mange!
Huja hide ur id ngoja aje akufate m simoMange ni bipolar a.k.a mwezi mchanga. Wanao mfatisha analolisema wana moyo wa ziada
MmmhKwangu Mange sometimes yes sometimes no
Akwende huko. Yeye analilia freedom of speech Ila kwenye page yake mwiko.Huja hide ur id ngoja aje akufate m simo
Kuna post aliiweka mi nka comment kuipinga kwa sabab aikua na uhalisia wowte nkaja kukuta kasha ni blockUlifanya nn
Toka nianze kumsikia Mange Kimambi mtandaoni, nimeona asilimia kubwa ya watu huamini kila anachosema.
Kwanini kila habari yake inakuwa verified kuliko nyingine?
Au ni watu ni ile tabia ya kupenda kusikia tu kile tunachotaka kusikia ndio kinaoeleka kuamini na kuthibitisha kila anachosema?
Au pengine tumeungana kuwa comrades kwa kuattack upande mmoja ndio maana tunakubali lolote tu ili yule tunaye mshambulia aumie?
Kipi kinakufanya uamini kile anachosema kuliko neno la Yesu!?