Q&A, kwanini kila habari ya Mange ni verified kuliko nyingine?

Q&A, kwanini kila habari ya Mange ni verified kuliko nyingine?

"Huku maji hayatoki siku ya tatu"Please Hide my ID...sasa sijui yeye ndio atawapelekea maji!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wengne u mwaka 1 na nusu tulisha kula block kitamboo Kama ni kweny mapenzi tuna sema tusha move on [emoji23][emoji23] kumb bado yupo nlkua sha msahau
 
Yaani Diamond ana roho mbaya sana, anawalipa watu pesa ili wasiangalie video za Ali Kiba kwenye YouTube? Ndio maana kazaliwa Manzese
Ameewalipa akina nan na wapi, na kwa njia gn, # bila shaka we n mke wa alikiba!!!!
 
Mange ni mwanaharakati,pamoja na watu kujifanya wanamponda lkn ukweli wengi wao ndo wasomaji wake wakubwa..! Mange kinachomfanya avutie watu wengi,anafanya utafiti wa habari zake. Habari zake nyingi ukifuatilia,huwa zina ukweli. Anaweza kuibua jambo na watu wakaona km umbea,lkn baadae inakuja kuwa kweli. Mifano ipo mingi tu. Kwa sasa story ni kuhusu diamond kurejea ktk penzi na wema. Ameibua jana hiyo story,wema amekanusha,ngoja tuvute subira tutajua ukweli wa mange!


Issue sio kusoma habar zake but ni kwanini asilimia kubwa huamini taarifa zake
 
Mange ni bipolar a.k.a mwezi mchanga. Wanao mfatisha analolisema wana moyo wa ziada
 
chadema na CCM (1).jpg
WANAMALIZANA WENYEWE.VYEO NI SHIDA!! MMOJA AKIMWAGA UGALI NA MWINGINE ANAMWAGA MBOGA MPAKA 2020 MANGE ATAKUWA ANAPEWA HABARI .MWEZAKO HIYO NI KAZI KWAKE YA UHAKIKA
 
Kwangu Mange sometimes yes sometimes no
 
I f*ckn hate her, but apparently, people trust her. Baada long analysis nikagundua kitu.
I think yeye ni kama wikileaks ya bongo, ila less 'sophisticated'. Naona watu wenye kutaka kutoa siri wanamtumia yeye kwa ajili ya wao kubaki anonymous. Kumbuka wikileaks sio wenye content, bali platform ya whistleblowers.
Hivyo, in a loop, pale wengi wanavyomtumia taarifa zenye ukweli, ndipo na yeye anaongeza fans, halaf tena watu wengine zaidi wanaongezeka kwa ajili ya kumtumia.
Obviously, she didnt mastermind this, but she was lucky enough to be granted this opportunity, concidently.
Hivyo basi, look deeper, she is a whistleblowing platform.
Mfano, zile taarifa za kiofisi za TRA. Lazima ni mtu wa ndani alitaka ku-leak those information bila kujulikana.
So, yah, shit happens! I bet, even she doesnt know how she got here.
 
Toka nianze kumsikia Mange Kimambi mtandaoni, nimeona asilimia kubwa ya watu huamini kila anachosema.

Kwanini kila habari yake inakuwa verified kuliko nyingine?

Au ni watu ni ile tabia ya kupenda kusikia tu kile tunachotaka kusikia ndio kinaoeleka kuamini na kuthibitisha kila anachosema?

Au pengine tumeungana kuwa comrades kwa kuattack upande mmoja ndio maana tunakubali lolote tu ili yule tunaye mshambulia aumie?

Kipi kinakufanya uamini kile anachosema kuliko neno la Yesu!?

Mimi simuamini hata kidogo. Inaonekana watu wakitaka kumshambulia mtu kwa kisasi lazima wapitie kwake, na yeye bila kuchuja na kujua upande wa pili ana publish hivyo hivyo.
Kwa ujumla ni Mmbeya kama wambeya wengine. Ni shambenga haswaa.

Shilawadu wananafuu.
 
Back
Top Bottom