Q&A, kwanini kila habari ya Mange ni verified kuliko nyingine?

Q&A, kwanini kila habari ya Mange ni verified kuliko nyingine?

ѕíjαwαhí kumkuвαlí mwαnαmkє, nαdhαní hílí línαwєzα kuα ní tαtízσ lαngu вínfѕí.

huчσ mαngє nαmѕíkíα ѕαnα ílα ѕíjαwαhí kuσnα kαmα αnααndíkα jαmвσ lσlσtє lα mααnα
 
Toka nianze kumsikia Mange Kimambi mtandaoni, nimeona asilimia kubwa ya watu huamini kila anachosema.

Kwanini kila habari yake inakuwa verified kuliko nyingine?

Au ni watu ni ile tabia ya kupenda kusikia tu kile tunachotaka kusikia ndio kinaoeleka kuamini na kuthibitisha kila anachosema?

Au pengine tumeungana kuwa comrades kwa kuattack upande mmoja ndio maana tunakubali lolote tu ili yule tunaye mshambulia aumie?

Kipi kinakufanya uamini kile anachosema kuliko neno la Yesu!?
Mange anaaminika kwa vile amedata.

watu waliodata wanachosema huwa ni UKWELI mtupu. hizi ni findings za utafiti wa kisayansi.
 
I like her! I will continue to blv in her. She gives real News, true facts unlike others who are scared lyk little kids.
 
Umeanza vizuri, mwisho kabisa unaharibu. Habari za Yesu na za Mange zinatofauti gani?
 
Tuacheni tumfatilie kwani mmelazimishwa??
 
Kimambi anazo source nyingi za information, kumwamini yeye ni rahisi sana!
Usaliti ni mwingi sana! Wapo wanaompa taarifa wanaokaa na kushinda na watesi Wetu!
Ni rahisi sana, Mimi hapa siwezi kuziweka in public manyanyaso ninayoyapata ofisini hivyo mtu wa kumpa azi-publicise ni mange!
I wish there could be 50 mange kimambis
 
Hivi ile account ya Instagram, Bill Gates aliyoifungia akiwa Tanzania, ina followers wangapi na ana post chochote?


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom