Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Sasa kama weye naye unasema una mengi na wenye mambo mengi kweli wasemeje? Wana mambooo?mambo mengi sometimes sipo hewani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama weye naye unasema una mengi na wenye mambo mengi kweli wasemeje? Wana mambooo?mambo mengi sometimes sipo hewani
poaSasa kama weye naye unasema una mengi na wenye mambo mengi kweli wasemeje? Wana mambooo?
Huwa inasaidia some how huwez kuamini lkn kuna kina kaisari wakubwa sana Wa nchi lazima na wao wanaperuzi pale asikiaye na afahamu hlf ...kuna wakuu watabisha ila huo ndio ukwl"Huku maji hayatoki siku ya tatu"Please Hide my ID...sasa sijui yeye ndio atawapelekea maji!!
Kabisa na ole wako umkosoe,hapo tu ndipo anaponimaliza nguvu. Anahubiri democracy lakini hapendi kutoa Uhuru huo kwa wachangiaji.Me simwamini ata kidogo mana habari zake zmeegemea upande anaoupenda yeye/wenye maslah kwake nakuwalazimisha na wengne wakbar, ukikataa Block[emoji56] [emoji3]
Kabisa na katufanya hatujui hii ni nyeupe au nyeusiUnga wa ndele amewalisha, Mange anataka kufuta aibu ya habari yake ya Diamond
Tafuta kitabu kinachoitwa Kivuli Kinaishi.Unga wa ndele ndio nini?
umenikumbusha mbali sana na hiki kitabu...pia kuna unga wa rutuba..naona yeye anawapa unga wa ndele kwasababu wanopingana nae anawapa blockTafuta kitabu kinachoitwa Kivuli Kinaishi.
Unga wa ndele aliutumia Bi Kilembwe kuwapa watu washindwe kujua kweli na ongo. Kama ni nyeusi ukimwonesha MTU ukamwambia ni nyeupe anakubali kuwa kweli ni nyeupe kwa sababu tu Fulani kasema
Kabisa na ole wako umkosoe,hapo tu ndipo anaponimaliza nguvu. Anahubiri democracy lakini hapendi kutoa Uhuru huo kwa wachangiaji.
Namfananisha na Ni Bi Kilembwe.
Hakuna cha democracy anchohubiri yupo kimaslahi zaidi mwaka 2015 kwenye kampeni CCM walipanda dau akatumika ipasavyo kumtukana Mzee wa watu Lowassa..mpaka akamsingizia vitu vya kijinga kabisa nadhani mnajua namna alovyomzushia Leo hii kuna watu wamepanda dau anatumika kumtukana mkuu na mkuu wa mkoa wa DSM..so ni bibi kilembwe kweli...Kabisa na ole wako umkosoe,hapo tu ndipo anaponimaliza nguvu. Anahubiri democracy lakini hapendi kutoa Uhuru huo kwa wachangiaji.
Namfananisha na Ni Bi Kilembwe.
Dada mange yaani huku kwetu maisha ni magumu tunakula hadi kenge plz hide my ID... hahahahaha huwanafurahi sana haswa nikiwaona followers wake wanapenda kusikia wanachokipenda namna wanavyochangia na kuunga mkono bila kuhoji...Huwa inasaidia some how huwez kuamini lkn kuna kina kaisari wakubwa sana Wa nchi lazima na wao wanaperuzi pale asikiaye na afahamu hlf ...kuna wakuu watabisha ila huo ndio ukwl
hapo tu umkimuuliza kidogo tu unakula block la utosi hataki kuulizwa...Una uhakika gani?
Mkuu kwan marekani ni ulaya siku hizi au mie mshambaKwa sababu anaishi Marekani, kwani hujui watu huamini wanaoishi Ulaya ndio wakweli, na ndio maana matapeli weni huja. Kwa gia ya uzungu na Kiingereza
Atalipa wangapi wewe watanzania wenye access ya internet ni wengi sana achaà mawazo potofu hayo we lazima uwe timu kiba ndo maana be neutral! Sasa kwa ushauri mwambie kiba awalipe ili waangalie sasaYaani Diamond ana roho mbaya sana, anawalipa watu pesa ili wasiangalie video za Ali Kiba kwenye YouTube? Ndio maana kazaliwa Manzese
Ulaya imetumika kama kivumishi tu.. Kuelezea sifa ya sehemu kwamba mahali palipo endeleaMkuu kwan marekani ni ulaya siku hizi au mie mshamba
Hata mange amenunuliwa kupost mondi mondi... Hahaha just kidding watu na hela zaoAtalipa wangapi wewe watanzania wenye access ya internet ni wengi sana achaà mawazo potofu hayo we lazima uwe timu kiba ndo maana be neutral! Sasa kwa ushauri mwambie kiba awalipe ili waangalie sasa