ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Serikali ya magufuli inapambana vikali na mimba za utotoni au kwa wanafunzi kwa ujumla, kwa wiki 3 zilizopita serikali imeweka msisitizo kuhusu watu kuwapa mimba wanafunzi na kuwakatishia masomo yao. Pia waziri umi mwalimu alisisitizia hilo. Waziri mkuu amesema mtu yeyote atakayekatisha masomo ya mtoto kwa kumpa mimba atakwenda jela miaka 30 akibainika.
Q boy amekatisha masomo ya mwanafunzi kwa kumpa mimba. Na amekataa dhahiri kuwa amempa mimba hiyo. Kesi hiyo ninavoongea tayari imefika kwa waziri mkuu. Sasa wazazi wamenuomba q boy angalau akubali yaishe ila amekataa, sasa q boy utalala mbele na magufuli