Q Boy Msafi adaiwa kumtia mimba mwanafunzi

Q Boy Msafi adaiwa kumtia mimba mwanafunzi

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Serikali ya magufuli inapambana vikali na mimba za utotoni au kwa wanafunzi kwa ujumla, kwa wiki 3 zilizopita serikali imeweka msisitizo kuhusu watu kuwapa mimba wanafunzi na kuwakatishia masomo yao. Pia waziri umi mwalimu alisisitizia hilo. Waziri mkuu amesema mtu yeyote atakayekatisha masomo ya mtoto kwa kumpa mimba atakwenda jela miaka 30 akibainika.

Q boy amekatisha masomo ya mwanafunzi kwa kumpa mimba. Na amekataa dhahiri kuwa amempa mimba hiyo. Kesi hiyo ninavoongea tayari imefika kwa waziri mkuu. Sasa wazazi wamenuomba q boy angalau akubali yaishe ila amekataa, sasa q boy utalala mbele na magufuli
 
mkuu nimetoka kuisikiliza hapa kwa kipindi pendwa cha mkulu
 
Hitmaker wa ngoma ya Mugachechere Q Boy Msafi yupo kwenye wakati mgumu kwa sasa kwa tuhuma inayomkabili ya kumtia mimba mwanafunzi wa sekondari .

Mama mzazi wa binti huyo aliyetiwa mimba na Q Boy amechachamaa vikali sana akidai kuwa hawezi kukubali binti yake akiharibiwa maisha huku aliyemharibu akidunda tu hapa mjini ,amedai kuwa atapambana mpaka mwisho ili mradi haki itendeke na sheria ifate mkondo wake

Q boy alifuatwa na kuulizwa kuhusu tuhuma hizo ,Q Boy boy alikana kutomtambua huyo binti wala huyo mama,na akadai kuwa wanaofanya hivyo wanafanya ili kumchafua na wanatafuta tu kiki kupitia jina lake
 
Screenshot_2017-07-07-23-00-53_1.jpg
 
Huyu mama atajisikiaje mjukuu atakapouliza baba yangu yuko wapi na kuambiwa alifungwa maisha kwasababu ya mimba yako?
Mkuu hata mimi nikisikia kuna kijana kaniharibia binti yangu aisee sitakuwa na msamaha kwa hilo

Na hii kitu huwa nawaambia vijana mara kwa mara nikiwa napiga nao stori ,huwa nawaambia kabisa ,nacheka na nyinyi vijana wangu lakini siku nikisikia mtu kaniharibia binti yangu kwa kweli sitakuwa na msamaha kwa hilo
 
Nini kinaendelea hapa..? Q-boy ni nani? Na aliyepewa mimba ni mwanafunzi wa shule gani? Umri wake ni miaka mingapi?

Asasi za kiraia zinasemaje
 
Mkuu hata mimi nikisikia kuna kijana kaniharibia binti yangu aisee sitakuwa na msamaha kwa hilo

Na hii kitu huwa nawaambia vijana mara kwa mara nikiwa napiga nao stori ,huwa nawaambia kabisa ,nacheka na nyinyi vijana wangu lakini siku nikisikia mtu kaniharibia binti yangu kwa kweli sitakuwa na msamaha kwa hilo
Hasira ni hasara Kwan Q Boy alimbaka binti? Hivi ndivyo tuvyoongeza watoto wa mitaani na baba zao wako jela.
 
Kumekucha na wasanii nao wanaisoma namba!!

Nyundo/mvua 30 zilee
 
Uyu Jama amefukuzwa WCB tayari kashaanza kuzuliwa mara ni Mrundi, mara Kamjaza denti mimba...... Kazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom