Q Boy Msafi adaiwa kumtia mimba mwanafunzi

Q Boy Msafi adaiwa kumtia mimba mwanafunzi

Kesi ya mimba kwa Waziri Mkuu.Tehe tehe tehe.
 
40ab4257849fc92c60447743d526f3f5.jpg
 
Huyu mama atajisikiaje mjukuu atakapouliza baba yangu yuko wapi na kuambiwa alifungwa maisha kwasababu ya mimba yako?
Swali fikirishi hili...Ila baba mwenyewe ndo hivyo anatoka nduki..Kama akubali yaishe basi acha walale naye
 
Huyu mama atajisikiaje mjukuu atakapouliza baba yangu yuko wapi na kuambiwa alifungwa maisha kwasababu ya mimba yako?
Naona ufikiri wako ni +ve sana, mzee wa chatle nae angekuwa anafikiri ivi some how mambo yangeenda!
 
Hawa wanaowapa mimba wanafunzi kesi ingeangalia kwanza umri wa wa kiume na wa kike, kama ni mwanaume fataki miaka 30 inamhusu kama ni umri mmoja kesi iangaliwe kifamilia zaidi. Kijana ahojiwe na wazee wa baraza na
Ikiwezekana wa kiume apate we mafunzo ya VETA kama hana ajira ili aweze kulea familia lakini akishindwa kulea afungwe.
 
Uyu Jama amefukuzwa WCB tayari kashaanza kuzuliwa mara ni Mrundi, mara Kamjaza denti mimba...... Kazi kweli kweli
mkuu q boy ni mrundi nimeishi nae bujumbura buyenz na apa sauzi kabla hajaja uko bongo
 
Hawa wanaowapa mimba wanafunzi kesi ingeangalia kwanza umri wa wa kiume na wa kike, kama ni mwanaume fataki miaka 30 inamhusu kama ni umri mmoja kesi iangaliwe kifamilia zaidi. Kijana ahojiwe na wazee wa baraza na
Ikiwezekana wa kiume apate we mafunzo ya VETA kama hana ajira ili aweze kulea familia lakini akishindwa kulea afungwe.
Mtu atakuwa akikosa vigezo vya kusoma veta anadunga mwanafunzi mimba!
 
Mkuu hata mimi nikisikia kuna kijana kaniharibia binti yangu aisee sitakuwa na msamaha kwa hilo

Na hii kitu huwa nawaambia vijana mara kwa mara nikiwa napiga nao stori ,huwa nawaambia kabisa ,nacheka na nyinyi vijana wangu lakini siku nikisikia mtu kaniharibia binti yangu kwa kweli sitakuwa na msamaha kwa hilo
Siyo swala la kusikia kumbuka kuna kuthibitisha tuhuma,je binti akisema mimba ni yako baba?
 
Back
Top Bottom