Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchezaji mpya wa Simba kutoka KongoQ boy ndio nani?
Swali fikirishi hili...Ila baba mwenyewe ndo hivyo anatoka nduki..Kama akubali yaishe basi acha walale nayeHuyu mama atajisikiaje mjukuu atakapouliza baba yangu yuko wapi na kuambiwa alifungwa maisha kwasababu ya mimba yako?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na hawa vijana kutongoza wanafunzi ni kukwepa kuhonga au
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Taifa letu kwa sasa lina Utajiri wa Ma Super star Mavi!
Huyo Q boy ni mmoja wa Ma house boy wa Diamond platinum
Naona ufikiri wako ni +ve sana, mzee wa chatle nae angekuwa anafikiri ivi some how mambo yangeenda!Huyu mama atajisikiaje mjukuu atakapouliza baba yangu yuko wapi na kuambiwa alifungwa maisha kwasababu ya mimba yako?
toa suluisho basiHuyu mama atajisikiaje mjukuu atakapouliza baba yangu yuko wapi na kuambiwa alifungwa maisha kwasababu ya mimba yako?
Huyu ndo kapewa mimba mkuu?
Huyu ndo kapewa mimba mkuu?
[emoji106]nitamkalisha binti yangu na kumpa shule baada nitamsaidia kulea mimba na akijifungua nitamuendeleza ili aje kujitegemea
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Taifa letu kwa sasa lina Utajiri wa Ma Super star Mavi!
Huyo Q boy ni mmoja wa Ma house boy wa Diamond platinum
mkuu q boy ni mrundi nimeishi nae bujumbura buyenz na apa sauzi kabla hajaja uko bongoUyu Jama amefukuzwa WCB tayari kashaanza kuzuliwa mara ni Mrundi, mara Kamjaza denti mimba...... Kazi kweli kweli
Sheria lazima imbane,mwanafunzi hana uwezo wa kukubali ila amerubuniwaHasira ni hasara Kwan Q Boy alimbaka binti? Hivi ndivyo tuvyoongeza watoto wa mitaani na baba zao wako jela.
Mtu atakuwa akikosa vigezo vya kusoma veta anadunga mwanafunzi mimba!Hawa wanaowapa mimba wanafunzi kesi ingeangalia kwanza umri wa wa kiume na wa kike, kama ni mwanaume fataki miaka 30 inamhusu kama ni umri mmoja kesi iangaliwe kifamilia zaidi. Kijana ahojiwe na wazee wa baraza na
Ikiwezekana wa kiume apate we mafunzo ya VETA kama hana ajira ili aweze kulea familia lakini akishindwa kulea afungwe.
Siyo swala la kusikia kumbuka kuna kuthibitisha tuhuma,je binti akisema mimba ni yako baba?Mkuu hata mimi nikisikia kuna kijana kaniharibia binti yangu aisee sitakuwa na msamaha kwa hilo
Na hii kitu huwa nawaambia vijana mara kwa mara nikiwa napiga nao stori ,huwa nawaambia kabisa ,nacheka na nyinyi vijana wangu lakini siku nikisikia mtu kaniharibia binti yangu kwa kweli sitakuwa na msamaha kwa hilo