ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
mkuu nimetoka kuisikiliza hapa kwa kipindi pendwa cha mkuluSerikali ya magufuli inapambana vikali na mimba za utotoni au kwa wanafunzi kwa ujumla, kwa wiki 3 zilizopita serikali imeweka msisitizo kuhusu watu kuwapa mimba wanafunzi na kuwakatishia masomo yao. Pia waziri umi mwalimu alisisitizia hilo. Waziri mkuu amesema mtu yeyote atakayekatisha masomo ya mtoto kwa kumpa mimba atakwenda jela miaka 30 akibainika.
Q boy amekatisha masomo ya mwanafunzi kwa kumpa mimba. Na amekataa dhahiri kuwa amempa mimba hiyo. Kesi hiyo ninavoongea tayari imefika kwa waziri mkuu. Sasa wazazi wamenuomba q boy angalau akubali yaishe ila amekataa, sasa q boy utalala mbele na magufuli
Mkuu hata mimi nikisikia kuna kijana kaniharibia binti yangu aisee sitakuwa na msamaha kwa hiloHuyu mama atajisikiaje mjukuu atakapouliza baba yangu yuko wapi na kuambiwa alifungwa maisha kwasababu ya mimba yako?
Umeniwahi mkuu...nilikuwa tayari nina speed ya kuuliza hilo swaliQ boy ndio nani?
Hasira ni hasara Kwan Q Boy alimbaka binti? Hivi ndivyo tuvyoongeza watoto wa mitaani na baba zao wako jela.Mkuu hata mimi nikisikia kuna kijana kaniharibia binti yangu aisee sitakuwa na msamaha kwa hilo
Na hii kitu huwa nawaambia vijana mara kwa mara nikiwa napiga nao stori ,huwa nawaambia kabisa ,nacheka na nyinyi vijana wangu lakini siku nikisikia mtu kaniharibia binti yangu kwa kweli sitakuwa na msamaha kwa hilo
Sasa ww utakubali binti yako akatishwe masomo na mtu ambaye unajua fika hana future naye?Hasira ni hasara Kwan Q Boy alimbaka binti? Hivi ndivyo tunavhoongwza watoto wa mitaani na baba zao wako jela.
nitamkalisha binti yangu na kumpa shule baada nitamsaidia kulea mimba na akijifungua nitamuendeleza ili aje kujitegemeaSasa ww utakubali binti yako akatishwe masomo na mtu ambaye unajua fika hana future naye?
Q boy ndio nani?