Huyu mnaemwogopa anatakaMh hivi wewe unamjua Magufuli au unamsikia , kamuulize Senge Sechi na Manji watakueleza Who is Magufuli in zisi kantri
Nahisi huyo jamaa hamjui anco maguMh hivi wewe unamjua Magufuli au unamsikia , kamuulize Senge Sechi na Manji watakueleza Who is Magufuli in zisi kantri
Samahani mkuu hv katika maisha yako yote ukianzia ujana wako hadi hapo ulipo sahv hujawahi kupita na binti wa mtu yyte?Mkuu hata mimi nikisikia kuna kijana kaniharibia binti yangu aisee sitakuwa na msamaha kwa hilo
Na hii kitu huwa nawaambia vijana mara kwa mara nikiwa napiga nao stori ,huwa nawaambia kabisa ,nacheka na nyinyi vijana wangu lakini siku nikisikia mtu kaniharibia binti yangu kwa kweli sitakuwa na msamaha kwa hilo
Basi sio mbaya,vizuri sana