Q Boy Msafi adaiwa kumtia mimba mwanafunzi

Q Boy Msafi adaiwa kumtia mimba mwanafunzi

Kijana atafungwa tu

Acheni wanafunzi...

Magume kibao kitaa
 
Mh hivi wewe unamjua Magufuli au unamsikia , kamuulize Senge Sechi na Manji watakueleza Who is Magufuli in zisi kantri
Huyu mnaemwogopa anataka
Kujilinganisha idiamin dada hyo ndo shida
 
Kama maneno aliyosema yule binti ni kweli, basi Q Boy ni very stupid!!! Mtu mzima na akili zako unaweka vipi mtoto wa kike ghetto wiki mzima na wakati unafahamu kabisa ni mwanafunzi?
 
Mpumbavu mwanafunzi huyoo....

Q boy songa mbele...

Binti malayaanatafuta wapi aitupe mimba..

Q boy alimkuta bikra. Usnge huu..
 
Amewahi kuonekana na q boy wakilana...!??
 
Mkuu hata mimi nikisikia kuna kijana kaniharibia binti yangu aisee sitakuwa na msamaha kwa hilo

Na hii kitu huwa nawaambia vijana mara kwa mara nikiwa napiga nao stori ,huwa nawaambia kabisa ,nacheka na nyinyi vijana wangu lakini siku nikisikia mtu kaniharibia binti yangu kwa kweli sitakuwa na msamaha kwa hilo
Samahani mkuu hv katika maisha yako yote ukianzia ujana wako hadi hapo ulipo sahv hujawahi kupita na binti wa mtu yyte?

Sent from my K-KOOL using JamiiForums mobile app
 
wanafunz kupata mimba ni viherehere vyao ......
[HASHTAG]#JKwaPili[/HASHTAG]
 
Tuulize swali la msingi kwanza: huyo binti katoa mwili wake bure au kwa hela? Kama katoa bure wakati anasoma shule ya bure tamko la baba linamhusu. Bure bure mbili haziwezi kwenda kwa pamoja.
 
Kwahio kifuatacho au mpaka Halima atoke Kivukoni ?
 
Back
Top Bottom