Q chilla karudi..

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768
Au Q chief ukipenda . Tumpe sapoti asiwe frastreted tena.
 
Hahaha muziki una zama zake.

Mfano Mc Hammer alipita wakaja NWA, Coolio, Naughty by Nature, Luniz nao wakapita wakaja wakina Jay Z, Rick, Fat Joe, Lil Wayne nao ndo wanaishia sasa tunao Migos, Future, Post Malone, Waimba trap na watumia autotune.
Nao watapita.

Mc Hammer alifanya kosa walilofanya wasanii wetu wa zamani, hawaweki mirija ya kipato kipindi wako on top ili waje kuitumia wakiwa chini mfano Mr Nice, Juma Nature, Mac D, Chidi Benzi, Crazy GK (huyu alirudi darasani na hayupo chini ila ni mfano kwa kutochonga mrija)

Q Chief tangu enzi za Mzimuni za ile ngoma ya Mpiga Debe mpaka leo kizazi chake cha kumshabikia ama kimeshapita au kipo kwenye majukumu kiasi kwamba kumsikiliza itakua ni "Ebwana eeh ngoma kali oops duty calls gotta answer it"

Sijui atajibrand vipi tena mpaka kizazi cha madrama ya insta kimkubali.
 
Ktk wote hapoWayne kaondoka mapema sana...he couldn't handle himself
 
Ktk wote hapoWayne kaondoka mapema sana...he couldn't handle himself
Alipanga kustaafu miaka kama mitatu/ mitano nyuma, sasa hivi naona anafanya features tu. Na kama lebo yake aliyoianzisha na Baby/ Birdman figisu zilikwisha bado mkwanja unaingia
 
Alipanga kustaafu miaka kama mitatu/ mitano nyuma, sasa hivi naona anafanya features tu. Na kama lebo yake aliyoianzisha na Baby/ Birdman figisu zilikwisha bado mkwanja unaingia
I wanted more from him...ukizingatia na uwezo aliokuwa nao. Young Thug ameshindwa kukaa ktk nafasi ya Wayne how harder Birdnan tried
 
Mkuu Jaz Z usimweke kwene list ya hao watu huyo ni mtu hatari sana, he is a Genius... na huu mziki wao wa T-rap wamshukuru Gucci Mane manake ndie alieuanzisha.....
 
Wayne hayo madrama yake na Birdman ndio yanamkost....Jay is still big kwene mziki aisee msifananishe na hao watoto
Jay is still big?
Ndiyo

Lakini siyo kupitia nyimbo anazorap mwenyewe.

Sasa hivi anakula zake jasho alilotoa wakati wa Roc-a-fella na Def Jam
 
Mkuu Jaz Z usimweke kwene list ya hao watu huyo ni mtu hatari sana, he is a Genius... na huu mziki wao wa T-rap wamshukuru Gucci Mane manake ndie alieuanzisha.....
My point was aina ya muziki fulani unapita. Hapa zamani tulikua na Mchiriku, Mnanda leo vipo kwenye computer zetu tu. Hakuna anayesikiliza.

Lil Wayne ile ni sauti yake (Msikilize kwenye neck of the wood) baadaye aliongezea na autotune. Lil Wayne kaanza kuchana hata kabla ya Trap kuja kusema amshukuru Gucci Mane hapana. Na yeye kuifuata autotune au trap ilikua ni kuendana na soko.

Jay Z akatoa D.O.A kuwadiss watumia autotune na binafsi sikumbuki kama amewahi kutumia. Lakini time Autotune inatamba Jay Z alifanya nini hakua kimya? Mpaka baadaye akatoa albam na Kanye West (Mtumia autotune mwingine)?
 
Alipanga kustaafu miaka kama mitatu/ mitano nyuma, sasa hivi naona anafanya features tu. Na kama lebo yake aliyoianzisha na Baby/ Birdman figisu zilikwisha bado mkwanja unaingia
mkwanja " uningia ndio" but mainstream inamkataa"".
 
Mkuu Jaz Z usimweke kwene list ya hao watu huyo ni mtu hatari sana, he is a Genius... na huu mziki wao wa T-rap wamshukuru Gucci Mane manake ndie alieuanzisha.....
kwani" hao wengine sio ma genius" wayne wamuonaje""? ..issue ni kwamba maisha", yanAsimamiwa na wakati" so wakati wako ukishaisha'" huwa kinakuja" kizazi kingine", nakufnya vyema " kwenye tasnia fulani"... JAY wakati wake umesha pita""Ila anaendelea kuongelewa sana na media kwa sabbu" ana akili ya utafutaji" alijiongeza aka invest haswaa"", then anayatumia " mahusiano yke na Be " kibiashara... kinyume na hapo " tungekuw tumeshamsahau ""
 
JF kuna majibu yakitolewa lazima uridhike... ili nijibu pekee na nzuri kwa Q Chillah na wasanii wengine wanaojiona MALEJENDI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…