Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alipanga kustaafu miaka kama mitatu/ mitano nyuma, sasa hivi naona anafanya features tu. Na kama lebo yake aliyoianzisha na Baby/ Birdman figisu zilikwisha bado mkwanja unaingiaKtk wote hapoWayne kaondoka mapema sana...he couldn't handle himself
Mwaka 2015 alipanda jukwaan kufanyia kampeni chama au ? Tuanzie Hapo kwanzaAu Q chief ukipenda . Tumpe sapoti asiwe frastreted tena.
I wanted more from him...ukizingatia na uwezo aliokuwa nao. Young Thug ameshindwa kukaa ktk nafasi ya Wayne how harder Birdnan triedAlipanga kustaafu miaka kama mitatu/ mitano nyuma, sasa hivi naona anafanya features tu. Na kama lebo yake aliyoianzisha na Baby/ Birdman figisu zilikwisha bado mkwanja unaingia
Teja hana dhamana.Au Q chief ukipenda . Tumpe sapoti asiwe frastreted tena.
Ktk wote hapoWayne kaondoka mapema sana...he couldn't handle himself
Hahaha muziki una zama zake.
Mfano Mc Hammer alipita wakaja NWA, Coolio, Naughty by Nature, Luniz nao wakapita wakaja wakina Jay Z, Rick, Fat Joe, Lil Wayne nao ndo wanaishia sasa tunao Migos, Future, Post Malone, Waimba trap na watumia autotune.
Nao watapita.
Mc Hammer alifanya kosa walilofanya wasanii wetu wa zamani, hawaweki mirija ya kipato kipindi wako on top ili waje kuitumia wakiwa chini mfano Mr Nice, Juma Nature, Mac D, Chidi Benzi, Crazy GK (huyu alirudi darasani na hayupo chini ila ni mfano kwa kutochonga mrija)
Q Chief tangu enzi za Mzimuni za ile ngoma ya Mpiga Debe mpaka leo kizazi chake cha kumshabikia ama kimeshapita au kipo kwenye majukumu kiasi kwamba kumsikiliza itakua ni "Ebwana eeh ngoma kali oops duty calls gotta answer it"
Sijui atajibrand vipi tena mpaka kizazi cha madrama ya insta kimkubali.
Jay is still big?Wayne hayo madrama yake na Birdman ndio yanamkost....Jay is still big kwene mziki aisee msifananishe na hao watoto
My point was aina ya muziki fulani unapita. Hapa zamani tulikua na Mchiriku, Mnanda leo vipo kwenye computer zetu tu. Hakuna anayesikiliza.Mkuu Jaz Z usimweke kwene list ya hao watu huyo ni mtu hatari sana, he is a Genius... na huu mziki wao wa T-rap wamshukuru Gucci Mane manake ndie alieuanzisha.....
mkwanja " uningia ndio" but mainstream inamkataa"".Alipanga kustaafu miaka kama mitatu/ mitano nyuma, sasa hivi naona anafanya features tu. Na kama lebo yake aliyoianzisha na Baby/ Birdman figisu zilikwisha bado mkwanja unaingia
kwani" hao wengine sio ma genius" wayne wamuonaje""? ..issue ni kwamba maisha", yanAsimamiwa na wakati" so wakati wako ukishaisha'" huwa kinakuja" kizazi kingine", nakufnya vyema " kwenye tasnia fulani"... JAY wakati wake umesha pita""Ila anaendelea kuongelewa sana na media kwa sabbu" ana akili ya utafutaji" alijiongeza aka invest haswaa"", then anayatumia " mahusiano yke na Be " kibiashara... kinyume na hapo " tungekuw tumeshamsahau ""Mkuu Jaz Z usimweke kwene list ya hao watu huyo ni mtu hatari sana, he is a Genius... na huu mziki wao wa T-rap wamshukuru Gucci Mane manake ndie alieuanzisha.....
Zama zimekata tayarimkwanja " uningia ndio" but mainstream inamkataa"".
JF kuna majibu yakitolewa lazima uridhike... ili nijibu pekee na nzuri kwa Q Chillah na wasanii wengine wanaojiona MALEJENDIHahaha muziki una zama zake.
Mfano Mc Hammer alipita wakaja NWA, Coolio, Naughty by Nature, Luniz nao wakapita wakaja wakina Jay Z, Rick, Fat Joe, Lil Wayne nao ndo wanaishia sasa tunao Migos, Future, Post Malone, Waimba trap na watumia autotune.
Nao watapita.
Mc Hammer alifanya kosa walilofanya wasanii wetu wa zamani, hawaweki mirija ya kipato kipindi wako on top ili waje kuitumia wakiwa chini mfano Mr Nice, Juma Nature, Mac D, Chidi Benzi, Crazy GK (huyu alirudi darasani na hayupo chini ila ni mfano kwa kutochonga mrija)
Q Chief tangu enzi za Mzimuni za ile ngoma ya Mpiga Debe mpaka leo kizazi chake cha kumshabikia ama kimeshapita au kipo kwenye majukumu kiasi kwamba kumsikiliza itakua ni "Ebwana eeh ngoma kali oops duty calls gotta answer it"
Sijui atajibrand vipi tena mpaka kizazi cha madrama ya insta kimkubali.
true sayingZama zimekata tayari
Sio T.I?Mkuu Jaz Z usimweke kwene list ya hao watu huyo ni mtu hatari sana, he is a Genius... na huu mziki wao wa T-rap wamshukuru Gucci Mane manake ndie alieuanzisha.....