screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Kwenye kuinvest hakuna genius wa kumzidi Diddy, maana kama muziki alishaacha siku nyingi but still anakimbiza kimkwanjakwani" hao wengine sio ma genius" wayne wamuonaje""? ..issue ni kwamba maisha", yanAsimamiwa na wakati" so wakati wako ukishaisha'" huwa kinakuja" kizazi kingine", nakufnya vyema " kwenye tasnia fulani"... JAY wakati wake umesha pita""Ila anaendelea kuongelewa sana na media kwa sabbu" ana akili ya utafutaji" alijiongeza aka invest haswaa"", then anayatumia " mahusiano yke na Be " kibiashara... kinyume na hapo " tungekuw tumeshamsahau ""