Q chilla karudi..

Q chilla karudi..

kwani" hao wengine sio ma genius" wayne wamuonaje""? ..issue ni kwamba maisha", yanAsimamiwa na wakati" so wakati wako ukishaisha'" huwa kinakuja" kizazi kingine", nakufnya vyema " kwenye tasnia fulani"... JAY wakati wake umesha pita""Ila anaendelea kuongelewa sana na media kwa sabbu" ana akili ya utafutaji" alijiongeza aka invest haswaa"", then anayatumia " mahusiano yke na Be " kibiashara... kinyume na hapo " tungekuw tumeshamsahau ""
Kwenye kuinvest hakuna genius wa kumzidi Diddy, maana kama muziki alishaacha siku nyingi but still anakimbiza kimkwanja
 
Ktk wote hapoWayne kaondoka mapema sana...he couldn't handle himself
Mi mtu ambaye sikutegemea angekaa mda mrefu kwenye peak ni Drake, nashangaa hadi sasa anakimbiza. Lil Wayne alianza kulost tangu alipoanza kugombana na Birdman
 
Kwenye kuinvest hakuna genius wa kumzidi Diddy, maana kama muziki alishaacha siku nyingi but still anakimbiza kimkwanja
sijapinga", but level ya u genius ",watu wanapishana", hata Kanye wazungu ",wanamuona kama" genius" tokana na uhodari wake wakuufanya music
 
Hajarudi popote kwasababu katoa nyimbo na video ya kawaida saaana. Anazidiwa hata na gigi.
 
kwani" hao wengine sio ma genius" wayne wamuonaje""? ..issue ni kwamba maisha", yanAsimamiwa na wakati" so wakati wako ukishaisha'" huwa kinakuja" kizazi kingine", nakufnya vyema " kwenye tasnia fulani"... JAY wakati wake umesha pita""Ila anaendelea kuongelewa sana na media kwa sabbu" ana akili ya utafutaji" alijiongeza aka invest haswaa"", then anayatumia " mahusiano yke na Be " kibiashara... kinyume na hapo " tungekuw tumeshamsahau ""

huo ndio ugenius wenyewe mkuu nenda mbele rud nyuma wayne will never be like Jay......
 
Jay is still big?
Ndiyo

Lakini siyo kupitia nyimbo anazorap mwenyewe.

Sasa hivi anakula zake jasho alilotoa wakati wa Roc-a-fella na Def Jam

Kweli mkuu lakin anafanya vizuri hata album yake ya mwisho ni nzuri kusikiliza....me nashauri tuwe tunasikiliza mziki sio lazima uwe wa kucheza ndio tuusikilize....mkuu watu wengi humu wanasikiliza kwa ngwalu sasa unategemea nini ? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwa ngwalu tucheze lakin upo mziki wa kusikiliza.................
 
My point was aina ya muziki fulani unapita. Hapa zamani tulikua na Mchiriku, Mnanda leo vipo kwenye computer zetu tu. Hakuna anayesikiliza.

Lil Wayne ile ni sauti yake (Msikilize kwenye neck of the wood) baadaye aliongezea na autotune. Lil Wayne kaanza kuchana hata kabla ya Trap kuja kusema amshukuru Gucci Mane hapana. Na yeye kuifuata autotune au trap ilikua ni kuendana na soko.

Jay Z akatoa D.O.A kuwadiss watumia autotune na binafsi sikumbuki kama amewahi kutumia. Lakini time Autotune inatamba Jay Z alifanya nini hakua kimya? Mpaka baadaye akatoa albam na Kanye West (Mtumia autotune mwingine)?

Sijasema wayne awashukuru kina Gucci wayne toka sikumingi yuko ivyo ivyo ila kina young thug, fetty wap, future and the likes kwakweli GUCCI ANAWAHUSU...
 
Back
Top Bottom