Q chilla karudi..

Kwenye kuinvest hakuna genius wa kumzidi Diddy, maana kama muziki alishaacha siku nyingi but still anakimbiza kimkwanja
 
Ktk wote hapoWayne kaondoka mapema sana...he couldn't handle himself
Mi mtu ambaye sikutegemea angekaa mda mrefu kwenye peak ni Drake, nashangaa hadi sasa anakimbiza. Lil Wayne alianza kulost tangu alipoanza kugombana na Birdman
 
Kwenye kuinvest hakuna genius wa kumzidi Diddy, maana kama muziki alishaacha siku nyingi but still anakimbiza kimkwanja
sijapinga", but level ya u genius ",watu wanapishana", hata Kanye wazungu ",wanamuona kama" genius" tokana na uhodari wake wakuufanya music
 
Hajarudi popote kwasababu katoa nyimbo na video ya kawaida saaana. Anazidiwa hata na gigi.
 

huo ndio ugenius wenyewe mkuu nenda mbele rud nyuma wayne will never be like Jay......
 
Jay is still big?
Ndiyo

Lakini siyo kupitia nyimbo anazorap mwenyewe.

Sasa hivi anakula zake jasho alilotoa wakati wa Roc-a-fella na Def Jam

Kweli mkuu lakin anafanya vizuri hata album yake ya mwisho ni nzuri kusikiliza....me nashauri tuwe tunasikiliza mziki sio lazima uwe wa kucheza ndio tuusikilize....mkuu watu wengi humu wanasikiliza kwa ngwalu sasa unategemea nini ? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwa ngwalu tucheze lakin upo mziki wa kusikiliza.................
 

Sijasema wayne awashukuru kina Gucci wayne toka sikumingi yuko ivyo ivyo ila kina young thug, fetty wap, future and the likes kwakweli GUCCI ANAWAHUSU...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…