Q Chillah anahitaji msaada gani?

[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Wabongo mumuonee huruma mwenzenu apate msosi basi
Ana kipaji ambacho ni mtaji kwake, tayari alisha jenga jina tunamtambua vizuri. Hivi ameshindwa hata kuomba ashirikishwe kwenye wimbo ili aamke kidogo kidogo? Mapromota pia wapo sidhani kama atakosa.
Asitutanie bhana, hlf lile jimama la mombasa lilimbwaga au?
 
Jamaa alikosea maisha tuu
Watu kibao hawasikiki kimziki lakin maisha yanaenda wala wake zao hawaja kimbia.
Ukiona mwanamke anakimbia jua akiona mchizi hana hata mipango amebaki kulalamika tu
Hata Mimi Ningekimbia, Mwanaume Analia Lia, Mi Nifanye Nini?
 
Q-Chillah bado ana nafasi kubwa kimuziki. Inabidi asome soko linataka nini kwasasa na aendane nalo.
Pia ashirikishe vijana wanaotamba kwasasa kama Asley, Baraka Da Prince, Dogo Janja n.k.
Ila asiwashirikishe Vijana wa WCB. Hao wameishatengwa na Media hawatomfikisha popote.
 
Tangia alipojifunza kizungu tukawa hatupumui, akihojiwa anajibu kizungu na kwenye nyimbo zake anajaza kizungu, yeye ndio mchawi wa kazi yake
 
Hahahaha
Wanawake huwa mnakaa na mtu alo ishiwa hata umaarufu tu kwani?
Atakuwa alibwagwa
 
Aliwekeza mkuu ila sema uwekezaji wake haukuendana na imani yake, jamii ikamshambulia. Nakumbuka alifungua mabucha ya nyama ya nguruwe, yaani waisilamu wenzake hawakumuelewa kabisa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Basi ndio alipofeli alijiwekeza sehemu isiyo sahihi
 
Jina tu Qchilla what do you expect from him?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…