Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa anatafuta kuhurumiwa tu, eti anaenda kutangaza kuwa anaacha muziki halafu muda huohuo yupo na wimbo mpya anataka kuutambulisha
Aliwekeza mkuu ila sema uwekezaji wake haukuendana na imani yake, jamii ikamshambulia. Nakumbuka alifungua mabucha ya nyama ya nguruwe, yaani waisilamu wenzake hawakumuelewa kabisa!Qchilla hakujiwekeza nje ya mziki ndio kosa lake
Mkuu Tuombe Radhijamaa ni mtu wa Tanga kulia lia ni jadi yao, Wana-Jf tumbembeleze..🙄🙄
Ana kipaji ambacho ni mtaji kwake, tayari alisha jenga jina tunamtambua vizuri. Hivi ameshindwa hata kuomba ashirikishwe kwenye wimbo ili aamke kidogo kidogo? Mapromota pia wapo sidhani kama atakosa.[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Wabongo mumuonee huruma mwenzenu apate msosi basi
Hata Mimi Ningekimbia, Mwanaume Analia Lia, Mi Nifanye Nini?Jamaa alikosea maisha tuu
Watu kibao hawasikiki kimziki lakin maisha yanaenda wala wake zao hawaja kimbia.
Ukiona mwanamke anakimbia jua akiona mchizi hana hata mipango amebaki kulalamika tu
Tangia alipojifunza kizungu tukawa hatupumui, akihojiwa anajibu kizungu na kwenye nyimbo zake anajaza kizungu, yeye ndio mchawi wa kazi yakeUnajuwa tatizo lake? kwanza hataki kuacha mziki anachotafuta huruma afanye mziki. baya zaidi anataka afanikiwe bila kufanya kazi kwa bidii kidogo anadhani kafika. muziki ni kama league unamaliza mechi unawaza kushinda tena. Muziki sio sauti tu ni nidhamu na hard work pia good management yeye ni kuwa na nidhamu ya hali ya juu na kubwa zaidi aache kuimba kizungu katika muziki wake maana soko unataka la ndani kizungu hakina nafasi.
Hizo hela bora umpe mumeo anywe biaJamaa nikimkuta kitaa ntamtoa wekundu kadhaa asogeze siku. Mshikaji alikuwaga poa sana enzi zake yupo juu.
Wabongo sio watu wazuri ata kidogo[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Wabongo mumuonee huruma mwenzenu apate msosi basi
Kuna kipindi Diamond alikuwa anamsifia kuwa ni role model wake na alikuwa ana nia ya kumsaidia ila fadhira aliyolipwa na Q Chief ni kuambiwa anamwibia nyotadiamond si yupo atamsaidia
HahahahaAna kipaji ambacho ni mtaji kwake, tayari alisha jenga jina tunamtambua vizuri. Hivi ameshindwa hata kuomba ashirikishwe kwenye wimbo ili aamke kidogo kidogo? Mapromota pia wapo sidhani kama atakosa.
Asitutanie bhana, hlf lile jimama la mombasa lilimbwaga au?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aliwekeza mkuu ila sema uwekezaji wake haukuendana na imani yake, jamii ikamshambulia. Nakumbuka alifungua mabucha ya nyama ya nguruwe, yaani waisilamu wenzake hawakumuelewa kabisa!
Huyu si ndio alisema diamond alimroga na kuchukua nyota yake!! ; kumbe bado mpaka sasa analia lia!??Jamaa anatafuta kuhurumiwa tu, eti anaenda kutangaza kuwa anaacha muziki halafu muda huohuo yupo na wimbo mpya anataka kuutambulisha
Ngada tatzoKuna kipindi Diamond alikuwa anamsifia kuwa ni role model wake na alikuwa ana nia ya kumsaidia ila fadhira aliyolipwa na Q Chief ni kuambiwa anamwibia nyota
WastaraNani amsaidie sasa??,hana ndugu??..watu wote wakitoka hadharani na kusema shida zao ili wasaidiwe patakalika kweli??
Anadai kipindi kile alikuwa anatumia kwa hiyo akili haikuwa vizuriHuyu si ndio alisema diamond alimroga na kuchukua nyota yake!! ; kumbe bado mpaka sasa analia lia!??