pacesetter
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 255
- 306
Yani hii tasnia sasa hivi bila kiki mambo hayaendi.ilikuwa kiki ya wimbo wake na kiki ya kipindi kisikilizwe na wengi muda huo.
Asaidiwe kwani ni mgonjwa? Kama yu buheri wa afya akabebe hata zege maisha yasonge. Wakiwa na pesa wanazitapanya ovyo wakiishiwa wanaanza kulialiaQchilla hakujiwekeza nje ya mziki ndio kosa lake
Lakin kuimba kwa kutaka huruma hakuta mrudisha Qchief alokuwa form. Labda wamsaidie mtaji aanzishe biznez tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asaidiwe kwani ni mgonjwa? Kama yu buheri wa afya akabebe hata zege maisha yasonge. Wakiwa na pesa wanazitapanya ovyo wakiishiwa wanaanza kulialia
Sio kumchoka, maisha magumu haya. Hao ndugu tu kuwasaidia kipindi hiki mtu unawaza mara mbilimbili sembuse huyo mtu baki tena mzima wa afya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Khaaa! Hadi ww usha mchoka
Lakin si kaomba msaada asaidiwe hapo?
Its true vyenyewe umeonge ujueSio kumchoka, maisha magumu haya. Hao ndugu tu kuwasaidia kipindi hiki mtu unawaza mara mbilimbili sembuse huyo mtu baki tena mzima wa afya
Q jay wa wakali kwanza ? [emoji1]nilikutana na q Jay songea vijijiji ndani kachoka balaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] amekua mwanakijiji na yeye[emoji23]
yes mkuu[emoji2] [emoji2] kachoka sanaQ jay wa wakali kwanza ? [emoji1]
Ovyo kabisa[emoji23][emoji23]Anadai kipindi kile alikuwa anatumia kwa hiyo akili haikuwa vizuri
Hahahahyes mkuu[emoji2] [emoji2] kachoka sana
Lini? Mi nimekutana naye mwakajana mwishoni Bukobanilikutana na q Jay songea vijijiji ndani kachoka balaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] amekua mwanakijiji na yeye[emoji23]
mwaka jana meiLini? Mi nimekutana naye mwakajana mwishoni Bukoba
kabisa Maisha hayana mlango aise ukipata tumia vyema.Maisha ni kama mchezo wa kupokezana vijiti ukisha kipata kijiti wekeza na ukishapokewa kijiti sasa ni muda wa kula ulicho wekeza.
Tatizo anaamini sana mambo ya kishirikina.Hahahaa
Ila qchief ana vituko View attachment 784410
ila qjay akipambana anaweza kurudi kipaji anacho sijui amekwama wapi?mwaka jana mei