Q Chillah anahitaji msaada gani?

Q Chillah anahitaji msaada gani?

Asaidiwe kwani ni mgonjwa? Kama yu buheri wa afya akabebe hata zege maisha yasonge. Wakiwa na pesa wanazitapanya ovyo wakiishiwa wanaanza kulialia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Khaaa! Hadi ww usha mchoka

Lakin si kaomba msaada asaidiwe hapo?
 
Hahahaa
Ila qchief ana vituko
Screenshot_20180523-165356.jpg
 
Sio kumchoka, maisha magumu haya. Hao ndugu tu kuwasaidia kipindi hiki mtu unawaza mara mbilimbili sembuse huyo mtu baki tena mzima wa afya
Its true vyenyewe umeonge ujue

Amesema atapambana ati tanaomba sapot yenu[emoji23]
 
Back
Top Bottom