Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,404
Ushauri wako haumtendei haki jamaa.Yaan asiwashirikishe DABRIYUSIBII?Q-Chillah bado ana nafasi kubwa kimuziki. Inabidi asome soko linataka nini kwasasa na aendane nalo.
Pia ashirikishe vijana wanaotamba kwasasa kama Asley, Baraka Da Prince, Dogo Janja n.k.
Ila asiwashirikishe Vijana wa WCB. Hao wameishatengwa na Media hawatomfikisha popote.