Chatta g
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 585
- 955
Nashindwa niandike kwa namna ipi ili ieleweke kwamba hakuna pesa za bure, vijana tufanye kazi hata kama ajira hakuna Ila tufanye kazi tu hizo hizo za windani umachinga .
Ipo hivi..
Pwani-mlandizi mtaa wa tanesco kalibu na idara ya maji pale (Mara yangu ya kwanza kufika),
QNET wamekodi nyumba na wamewaweka Vijana walio watapeli pesa zao huku wakiwapa matumaini ya kuupata utajiri kwa mda mfupi
wengi ni ndugu zangu wangoni wamakonde, wahehe na wabena.
Note; walikua mbezi mwanzo na walikodi nyumba hivo hivo na walikua na Vijana walio watapeli kutoka Singida, Dodoma, Moshi na Arusha.
Mimi Jana hiyo nilienda kufanya interview baad ya kupewa mchongo na mwanangu akidai ni kampuni ya usafirishaji, kufika pale bwana kumbe Ni QNET.
Nipo tayari kumpeleka kiongozi yeyote sehemu Ile, ili tukawaokoe vijana