MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
Me Kuna jamaa yangu namheshimu sana alibipeleka Huku akinisisitiza biashara ya qnet ni uhakika yeye ni mwalim Kuna ofisi Yao pale menge jirani na kanisa la kakobe ukiwakuta Salam Yao ni good morning muda wote hatali sana hawakufanikiwa kuniumiza nimekua nikikutana nae hata Salam imekua ya kubangaiza.