Qatar Air Yanunua Hisa 25% Za South African Air Link

Ingetokea kama hii Qatar imenunua hisa ATCL unafkiri Watanzania,Chadema,Maaskofu,Wapinzani,Maccm na Masheykh wangesemaje? Samia Kawauzia Wajomba zake nakadhalika,Au wengine wangesema mama anawapa waislam wenzie,wengine mama anaiuza Tanganyika hauzi ya ZNZ,na mengi mengineyo,
Lengo langu sio uchochezi
 
Hata mimi nimemshangaa Isanga family anavyofananisha kifo na usingizi
Daah mkuu hizi kampuni unakuta ni Nchi kubwa inaingia ubia na hizo Vietnam sijui Singapore harafu ndio zinafanya kazi hiyo kampuni ya Vietnam imefanya vizuri kwenye Nchi kadhaa ambazo zinatoa kontena nyingi kwa siku hao DP World na Waingereza wapo hapo ingawaje Wazawa wanaamini ni Waarabu tu..
 
Sisi tunagawa
 
Kabisa Mkuu na ndiyo lengo la thread hii kuwaonyesha Watanzania kuwa his acquisitions, mergers na buyouts ni vitu vya kawaida kwenye global economics. Using'ang'anie kufanya kila kitu wewe mwenyewe
 
Naona mbogamboga mnajipa uhalali ya kuwapa wawekezaji rasilimali za nchi kupitia mikataba ya ovyo, hakuna mtu anayepinga uwekezaji hapa nchini kinachopingwa ni mikataba ya kiwaki, mfano hapo airlink katoa seat mbili na waarabu hawana mamlaka je kwa nchi yetu ingekua hivyo.?
 
Nani kapewa raslimali za nchi? Hebu tokeni huko acheni watu wafanye kazi maana sasa hivi kila mtu anajifanya bingwa wa sheria za mikataba.

Kwanza wewe Warld umeuona hata huo mkataba wa bmdari ? Au kazi yenu ni kuwa cheerleaders wa akina Mwabukusi na Mdude_Nyagali
 
Tuanzie apa kwanini mikataba na terms zake haviwekwi wazi kama sio wizi.
 
Tuanzie apa kwanini mikataba na terms zake haviwekwi wazi kama sio wizi.
Ni nchi gani duniani inaweka mikataba wazi?

Mwananchi utajua General terms tu, mikataba duniani kote haiko wazi. Sababu ni nyingi; confidentiality, trade secrets, competition, intelligence, intellectual property rights etc
 
although it will remain a minority, non-controlling
 
although it will remain a minority, non-controlling
 
although it will remain a minority, non-controlling

Unajua maana ya kuwa minority non controlling kwenye Kampuni

Sasa wengine wanauza bandari nzima nzima with full control

Alafu unataka watu wapige makofi
 
Hakuna aliyepinga uwekezaji kwenye bandari
Kiliichopingwa ni masharti ya uwekezaji
Swala kwamba walipingwa kisa waarabu hizo hisia za wanaojiona waarabu weusi
 
Kabisa Mkuu na ndiyo lengo la thread hii kuwaonyesha Watanzania kuwa his acquisitions, mergers na buyouts ni vitu vya kawaida kwenye global economics. Using'ang'anie kufanya kila kitu wewe mwenyewe
Hakuna MTU mwenye Akili timamu anayepinga uwekezaji haijalishi ni wa nchi gani
Isipokuwa ni ujinga kukubali uwekezaji kwenye nchi yako unakunyang'anya uhuru wako kwenye masuala nyeti ya nchi
 
Hakuna Cha kufikiri hapo mkataba uko wazi mpaka huku Tanzania tunaona hakuna Kona Kona

Ni wameuziwa asilimia 25% tu ya hisa ambayo ni minority and non controlling
Sasa ndugu yangu nani atakuja kuwekeza mabilioni halafu aachie watawala wa Tanzania? akili ya kawaida tu sisi kama sisi tunanini tumeendesha kwa faida. Sasa ngoja tuongee ukweli, sisi tunaita wawekezaji tukifikia hali ni mbaya yametushinda ndio tunakimbilia wawekezaji sasa hawezi mtu kuja kuweka pesa ikiwa za kwenu tu mmezimaliza lazima atakuja kuweka management yake na haya ndio kama Simba minority share holder ana run na huwezi kumlaumu.

Sasa wenzetu kwa sababu wanaendesha mashirika yao kwa faida muwekezaji anavutia mwenyewe kuwekeza sababu anajuwa ufanisi wao ndio umemvuta kuingia ushirikiana kwa hiyo hana sababu ya kutaka kuongoza. anawekeza apate faida akiwa ana confidence ya Management. Ukitaka tuwe kama wenzetu kwanza tufanikiwe wenyewe wawekezaji watakuja kuweka pesa zao tu, watavutiwa wao kuweka mitaji yao. Sisi tunafilisi mpaka tunakuwa ICU bado unataka mtu alete pesa zake wazifyeke tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…