Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kituko biashara ni biashara tu, iwe private au public, ukiishiwa maarifa au mtaji unauza tu kuingiza maarifa na mtaji mpya.Kituko kikubwa zaidi ni pale wanapo fananisha ATCL (state owned) to Airlink ambayo ni kampuni binafsi. Wanafananisha machungwa na tufa.
Sawa na leo hii Precisoin Air Tanzania, wauze 50% kwa Qatar Air, ni wangapi watapiga kelele?
Shida inaanzia kwenye udini,unadhani bandari ingepewa kampuni ya ulaya kungekua na keleleMkuu wewe una akili sana. Umefungua code ya thread yangu. Hilo ndiyo kusudio langu kuonyesha kuwa biashara haina siasa, dini, rangi wala kabila.
Kama Waarabu wananunua investments za Uingereza (Manchester City, Newcastle), Ufaransa (PSG) na sasa Airlink ya SA, wewe Tanzania una uchumi gani usinunuliwe na DP WORLD
Hauna akili master,huko ulaya nchi nyingi tu wamekodisha bandari hadi viwanja vya ndegeSijui umri wako
Lakini Kama mpaka Leo hujui umuhimu wa Bandari katika ulinzi na usalama kwa nchi yoyote duniani
Basi una matatizo Fulani kwenye akili
Mkamdarasi kutoka UAE ankuja kuendesha MwendokasiTatizo lako unafanisha uuzwaji wa kampuni binafsi na uuzwaji wa kampuni inayomilikiwa na serikali..! Leo hii Mwamedi wa Simba auze METL kwa Dangote, wangapo hapo bongo watainua mdomo? Lakini serikali iuze sehemu ya Tanesco kwa labda Qatar (State) watu lazıma waseme.
Pili, kwa taarifa yako hakuna mfanyabiashara yeyote duniani mwenye akili timamu na kujua biashara anayeweza kununua/kuwekeza kwenye mwendokasi. Biashara pigo za Mwendokasi, ni huduma na kwa kawaida uaga haziingizi faida. Labda kama serikali ya bongo kwenye mkataba ikubali kutoa ruzuku ya kutosha, kusaidia uendeshaji wa kampuni. Vinginevyo, mwendokasi ni mshipa wa serikali, itake isitake.
Kwa hiyo ukishasema huko ulaya ndo unaona una akili mkuu ?Hauna akili master,huko ulaya nchi nyingi tu wamekodisha bandari hadi viwanja vya ndege
Ungekuwa una fikiria vizuri usingefafanisha mkataba wa kampuni ambao uko wazi kwenye umiliki na usimamiziWewe hata kama una umri mkubwa bado mbumbumbu tu
Kwa hiyo wewe kipimo chako ni mdomo au kelele za watakao kuuliza kwa nini wauza shirika la umma? Kama unaogopa kelele za watu badala ya ubora wa maamuzi then wewe hufai kuwa entrepreneur!!Tatizo lako unafanisha uuzwaji wa kampuni binafsi na uuzwaji wa kampuni inayomilikiwa na serikali..! Leo hii Mwamedi wa Simba auze METL kwa Dangote, wangapo hapo bongo watainua mdomo? Lakini serikali iuze sehemu ya Tanesco kwa labda Qatar (State) watu lazıma waseme.
Pili, kwa taarifa yako hakuna mfanyabiashara yeyote duniani mwenye akili timamu na kujua biashara anayeweza kununua/kuwekeza kwenye mwendokasi. Biashara pigo za Mwendokasi, ni huduma na kwa kawaida uaga haziingizi faida. Labda kama serikali ya bongo kwenye mkataba ikubali kutoa ruzuku ya kutosha, kusaidia uendeshaji wa kampuni. Vinginevyo, mwendokasi ni mshipa wa serikali, itake isitake.
Unataka asilimia za nini kwenye model ya TPA ? Kwani Net Group Solutions alipokuwa anaendesha TANESCO miaka ya 2000-2006 kwa mfumo wa management contract Tanzania ilikuwa na share ngapi?Ungekuwa una fikiria vizuri usingefafanisha mkataba wa kampuni ambao uko wazi kwenye umiliki na usimamizi
Ambao uko clear 25% share
Na kituko Cha mkataba wenye Kona Kona nyingi haijulikana ni wanamilki Asilimia ngapi mipaka yao ya usimamizi haiko clear
Ndo maana nikakuambaia kulinganisha mkataba wa Bandari na huu wa Qatar Airways niUnataka asilimia za nini kwenye model ya TPA ? Kwani Net Group Solutions alipokuwa anaendesha TANESCO miaka ya 2000-2006 kwa mfumo wa management contract Tanzania ilikuwa na share ngapi?
Sisi bado TPA ni mali ya Tanzania kwa 100% ila tumekodisha menejimenti ya operations za port, peri
Wape jina lolote lakini wamekuzidi maarifa, mtaji, teknolojia na mzigo.. Ndiyo maana wanafanya biashara dunia nzima.Ndo maana nikakuambaia kulinganisha mkataba wa Bandari na huu wa Qatar Airways ni
Dalili za kushindwa kufikiria vizuri
Hapo wenzenu wametafuta wawekezaji na sio wanyampara
Tpa imetafuta wanyampara wa mataifa mengine kuja kuwasimamia wao na watanzania wengine na watawalipa pia
Tena bila aibu walitaka kipengele Cha kutokuvunja mkataba
Pili hawakutaka mahakama za NDANI ziamue kesi zao
Usilazimishe mikataba ya watu wenye akili na vitu vya aibu
Tafuta mifano mingine