Qatar Air Yanunua Hisa 25% Za South African Air Link

although it will remain a minority, non-controlling

Unajua maana ya kuwa minority non controlling kwenye Kampuni

Sasa wengine wanauza bandari nzima nzima with full control

Alafu unataka watu wapige makofi
Ni nani kauza Bandari nzima? Kama ni TPA ya Tanzania, you are wrong dude
 
Hakuna MTU mwenye Akili timamu anayepinga uwekezaji haijalishi ni wa nchi gani
Isipokuwa ni ujinga kukubali uwekezaji kwenye nchi yako unakunyang'anya uhuru wako kwenye masuala nyeti ya nchi
Taja mambo yanayonyan'anya uhuru wetu kwenye msauala nyeti ya nchi kwenye mkataba wa TPA
 
Well presented Mkuu Heijah
 
Tuanzie apa kwanini mikataba na terms zake haviwekwi wazi kama sio wizi.
Hiyo ndo maana ya serikali,unadhani mikataba ya nchi ikawekwa wazi mpk wewe WA mbagala kuu uuuone nchi itakuwa na Siri gani mbele ya competitors wa nchi zenye bandari na mahasimu wa nchi,Kwakukuongezea Tu ulishawahi kuona nchi gani duniani inaweka mikataba yake hadharani ili tanzania iwe yapili au waige huko,
 
Mbona unanipa kazi ambayo hata wewe unaiweza mkuu, kama hilo hulijui basi.
I bet you dont have answers,Akitokea Mtu Akiwaambia kitu hususan mwanasiasa,Kaeni chini kwanza mufikiri kabla ya kuyabeba vichwani mwenu,Wanasiasa wapo kwaajili ya leo yao watatunga kila Aina ya uongo ilimradi aendelee kubaki madarakani au aingie madarakani,
Wengi wa watu hata neno KUUZA hawajui maana yake, ndomana wanaropoka tu WAMEUZA BANDARI AU RASILIAMALI FLANI,
 
Taja mambo yanayonyan'anya uhuru wetu kwenye msauala nyeti ya nchi kwenye mkataba wa TPA
Akikujibu jibu lenye usahihi lisilo na hisia,Nakuahidi kukununulia full lunch ya uwezo wangu,wengi wa watu hawajui wayasemayo ila hufuata ya watu wayasemayo bila ya wao kuyajua kidhati hayo mambo
 
Sasa Mvietnam umfananishe na mwarabu kwa uzoefu wa kuendesha bandari?watu wanaosafiri Dubai huko waulize bandari zao zinavyofanyakazi hao DP world Hadi UK kuna bandari wanaziendesha wao
Ni mwingwreza yule wewe mzala,Hong Kong na Singapore walikuwepo hao Wavietnam Nchi ambazo zinaongoza kutoa kontena nyingi Duniani kwa siku moja.
 
Pole sana mkuu, huna hata haja ya kuandika yote hayo. Ninajua A to Z na nimeamua kutokukujibu swali lako la awali kwa makusudi kabisa. Kama unaona kilichotokea kwa bandari yetu ni sahihi, sina cha kukusaidia. Ngoja tuwatafutie watoto chochote mezani leo.
 
Kuna Russia, china, na Gulf states, hawa wote wanataka waigawane Africa, kwa kuchukua miradi ya kilimo, commercial agriculture, transportation infrastructure,
Sports, airports, bandari, USA haitaki miradi iende kwa Russia na China, ili kupunguza Influence yao, USA ana I promote Gulf states, Saudia,UAE, Qatar ziwekeze Afrika,
 
Akikujibu jibu lenye usahihi lisilo na hisia,Nakuahidi kukununulia full lunch ya uwezo wangu,wengi wa watu hawajui wayasemayo ila hufuata ya watu wayasemayo bila ya wao kuyajua kidhati hayo mambo
Hawezi, huyo ni nyumbu anaangalia tu kiongozi wake kasema nini
 
Nashukuru mkuu
Kama hutuamini watawala watanzania kwenye Kusimamia miradi

Basi ni ngumu pia kuwamini kwenye mikataba ya Siri ya Kusimamia miradi nyeti ya nchi
Maana ni rahisi kudanganywa kwenye mikataba ya miradi ambayo wenyewe imewashinda

So hofu ya watu waliokuwa nayo juu ya mikataba ya bandari ni sahihi
 
Taja mambo yanayonyan'anya uhuru wetu kwenye msauala nyeti ya nchi kwenye mkataba w
Je unajua Dar Port ndo bandari kubwa kuliko zote iliyoendelezwa ?
Je unajua bandari ni lango kuu la kiuchumi ?
Je unajua ni mambo mangapi ya Siri ya nchi yanaweza kupitishwa bandari ni yakiwemo ulinzi na usalama wa nchi?

Kwa wenzetu wanewapa minor share ambazo hawawezi ku control zaidi ya kuongeza mtaji na wao gawio tu

Je mkataba wa Bandari wawekezaji wetu wamepewa share ngapi
Minor shareholders au
Major shareholders?
 
Akikujibu jibu lenye usahihi lisilo na hisia,Nakuahidi kukununulia full lunch ya uwezo wangu,wengi wa watu hawajui wayasemayo ila hufuata ya watu wayasemayo bila ya wao kuyajua kidhati hayo mambo
Sijui umri wako
Lakini Kama mpaka Leo hujui umuhimu wa Bandari katika ulinzi na usalama kwa nchi yoyote duniani
Basi una matatizo Fulani kwenye akili
 
Mimi nadhani kwa makusudi hutaki kunielewa, sio suala la kuamini au kutoamini watu wanaangali perfomance mimi nimekwambia hakuna shirika hata moja tumeweza kuendesha likawa kivutio kwa wawekezaji jibu hakuna. Ukija suala la bandari ambalo ndio umeshikilia sijui mkataba mbovu mimi hilo sijui na wala sijaona huo mkataba, lakini kitu kimoja najuwa mikataba ni siri ya pande mbili huwezi kuweka mkataba hadharani hasa partner wako akiwa private. Mkataba wa kibiashara ni siri ya pande mbili hata ukiwa kwenye taasisi kubwa sio kila mtu ana access mikataba.

Miradi nyeti ni ipi? Nchi hatuna sio mashirika ya serikali au binafsi yenye uwezo wa kuvutia uwekezaji mkubwa wa nje.
 
Unaweza kuniambia wawekezaji wa Bandari wa Dar es laam wamepewa share /hisa Asilimia ???
Kama ambavyo tunaona wenzao wamepewa 25 percent?
Wewe sasa unayedai wamepewa ndiyo uziweke hapa. DP World wanachofanya ni kuendesha gati 1-7 ambapo watapakua na kupakia makasha (containers). Adani Group wako Gati 8-11. Sehemu inayobaki ni TPA wenyewe.

Watalipa tozo waliyopangiwa na serikali kama gharama ya kukodishwa.

Sasa unataka waipe Tanzania 25% kama Qatar Air na Airlink??

Kama huna elimu ya biashara nenda kwanza kasome ndiyo uje JF
 
Ulinzi na usalama haujakodishwa bado ni jukumu letu.

Tofautisha share na mapato!!! Hii ya kwetu ni kama management contract. Mkandarasi anaendesha halafu anakupa mapato mliyokubaliana.

Nenda katafute IGA na HGA ndugu uzisome na uzielewe. Unahemuka kwa hisia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…