Qatar Airways route za Dar/KIA analeta mikangafu!

establishment

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2015
Posts
1,632
Reaction score
2,435
Hawa wamanga wanatuchukulia poa Siku ya kuondoka tulipandishwa kwenye Ngalangala (chata la Oman Air) siti mbovu, in-flight entertainment hamna, Ila Doha-New York full chuma, siku narudi nako DOHA-Dar full kangafu limepauka mpaka rangi. Hii Imekaaje?
 
Eni

Emirates wazee wa hizo kazi. Wanarusha B777 au Airbus 380 route Zote dunian
 
Hawa wamanga wanatuchukulia poa Siku ya kuondoka tulipandishwa kwenye Ngalangala (chata la Oman Air) siti mbovu, in-flight entertainment hamna, Ila Doha-New York full chuma, siku narudi nako DOHA-Dar full kangafu limepauka mpaka rangi. Hii Imekaaje?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hawa wamanga wanatuchukulia poa Siku ya kuondoka tulipandishwa kwenye Ngalangala (chata la Oman Air) siti mbovu, in-flight entertainment hamna, Ila Doha-New York full chuma, siku narudi nako DOHA-Dar full kangafu limepauka mpaka rangi. Hii Imekaaje?
Kawaida hiyo,
Doha ukifika toka duniani waawachanganya humo mkafie mbele.
Anaetoka popote wote mnawekwa hizo ngarangara mradi mfike tu.
 
Ndege Ni Emirates hao wengine Tia maji Tia maji. Kuna Cathay na Singapore Ila hawafiki bongo
Mkuu umegusa penyewe, Cathay Pacific, Emirates na Singapore Airlines ndiyo mashirika matatu ninayoyapenda duniani, japo nimewahi kupanda Emirates tu. Ila tuache utani, kwa route nyingi emirates wanatisha, wanaenda nchi yoyote duniani, hata ukitaka kwenda Panama wanafika
 
Hawa wamanga wanatuchukulia poa Siku ya kuondoka tulipandishwa kwenye Ngalangala (chata la Oman Air) siti mbovu, in-flight entertainment hamna, Ila Doha-New York full chuma, siku narudi nako DOHA-Dar full kangafu limepauka mpaka rangi. Hii Imekaaje?
Hivi kumbe kuna ndege mikangafu!ngoja na mimi nitafute hela angalau nipande kwenda Chato nitarudi kwa basi....
 
Mkuu umegusa penyewe, Cathay Pacific, Emirates na Singapore Airlines ndiyo mashirika matatu ninayoyapenda duniani, japo nimewahi kupanda Emirates tu. Ila tuache utani, kwa route nyingi emirates wanatisha, wanaenda nchi yoyote duniani, hata ukitaka kwenda Panama wanafika
Japo hawatui Rwanda
 
Back
Top Bottom