connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,190
- 3,039
1. Aisee, Emirates analeta A380? Kuanzia lini?Kinachotokea ni kuwa, airline zote zinakusanya abiria kutoka nchi zenye abiria wachache kwa kutumia ndege ndogo ili mkaungane makao makuu. Mfano emirate dar to Dubai wanaleta A380. ndege kama hiyo itatoka Nairobo to Dubai, Cairo to Dubai etc. Kisha pale Dubai to Guangzhou mnakuwa abiria wengi ,mnawekwa ndege kubwa kama A800
2. A800 ni toleo jipya? Sijawahi kuisikia