Qatar Airways yapiga marufuku ndege zake zinazofanya safari za kuelekea na kutoka Kenya kumbeba Miguna Miguna

Nathan Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2017
Posts
1,437
Reaction score
1,883
Shirika la ndege la Qatar, limepiga marufuku ndege zake (zinazofanya safari za kuelekea na kutoka Kenya), kumbeba Miguna Miguna, kutokana na kupigwa kwake marufuku kuingia nchini Kenya.
 
hii ndio una ambiwa usishindane na serikali... uta umia...
 
hahahaha apitie Bongo apande mitungi ya air tanzania
 
Na hapo pana katiba inayosadikika kuwa MPYA.

Amri ya mahakama imeishia wapi?
 
Waluo wanaweza boycott Qatar airways, huwa hawajielewi
 
Serikali itampa usafiri mzuri wa kupitia Namanga, si unajua NASA waliunga mkono ccm
Sasa hivi Miguna Miguna anamrushia Raila cheche za matusi kila uchao. Kama CCM wamempenda Miguna Miguna basi watajiju wenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…