Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mumewe dadako mkubwaMiguna miguna ndiyo ujinga gani?
Haha. Kisha apitie Migori kama mzigoAwe anapitia Tanzania atapanda vipangaboi vyetu vya air Tanzania
kama wahabesh...Haha. Kisha apitie Migori kama mzigo
Serikali itampa usafiri mzuri wa kupitia Namanga, si unajua NASA waliunga mkono ccmHaha. Kisha apitie Migori kama mzigo
Kabisa. Atakubaliwa ila huku kwetu.... Akipitia Migori ndo poa juu ni region yaoSerikali itampa usafiri mzuri wa kupitia Namanga, si unajua NASA waliunga mkono ccm
Sasa hivi Miguna Miguna anamrushia Raila cheche za matusi kila uchao. Kama CCM wamempenda Miguna Miguna basi watajiju wenyewe!Serikali itampa usafiri mzuri wa kupitia Namanga, si unajua NASA waliunga mkono ccm