Qatar Airways yapiga marufuku ndege zake zinazofanya safari za kuelekea na kutoka Kenya kumbeba Miguna Miguna

Qatar Airways yapiga marufuku ndege zake zinazofanya safari za kuelekea na kutoka Kenya kumbeba Miguna Miguna

Nathan Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2017
Posts
1,437
Reaction score
1,883
Shirika la ndege la Qatar, limepiga marufuku ndege zake (zinazofanya safari za kuelekea na kutoka Kenya), kumbeba Miguna Miguna, kutokana na kupigwa kwake marufuku kuingia nchini Kenya.
FB_IMG_1527242845827.jpg
 
hii ndio una ambiwa usishindane na serikali... uta umia...
 
Na hapo pana katiba inayosadikika kuwa MPYA.

Amri ya mahakama imeishia wapi?
 
Serikali itampa usafiri mzuri wa kupitia Namanga, si unajua NASA waliunga mkono ccm
Sasa hivi Miguna Miguna anamrushia Raila cheche za matusi kila uchao. Kama CCM wamempenda Miguna Miguna basi watajiju wenyewe!
 
Back
Top Bottom