Qatar inawaponza waarabu wengine

Qatar inawaponza waarabu wengine

Kupasuliwa speaker ni tabia na sio asilia. Azaliwi mtu shoga bali ujifanya shoga
 
Kama shida ni ushoga, bora lisiende wabaki kumpendeza Mungu. Yaliyobakia siyo ishu sana. Maana hata bia zilitolewa japo kwa masharti
Waarabu wanampendeza Mungu kwa lipi? Wangekuwa bora hata mbele za Mungu basi wangekuwa juu ya wote maana baraka za Mungu ni hizo kwamba aliyebarikiwa anakuwa juu ya wengi sasa waarabu wana jipya gani?

Israel wenyewe waliongozwa na Mungu hand to hand bado wakashindwa kumpendeza seuze hawa wanakwenda Hijja wanazunguka jiwe jeusi bila kuvaa nguo za ndani? [emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Wamwutangaza ushoga kwa kuupinga! Better remain silent! Imekua attention ya duni kujua 'ushoga ni Nini" there after impact yake ni Kubwa!
Tanzania ushoga upo uliopitiliza nemda telegram utajua vijana wanavyojiuza
 
Unaongea Nini wewe? Hebu tuanze na pombe, Quran 45:17 Allah anasema peponi Kuna mito ya pombe yenye radha safi kwa wanywao, halafu unazuia pombe hapa duniani huu ni unafiki. Tuje Quran 2 223 inasema wanawake ni konde zenu ziendeeni konde zenu Kama mpendavyo, tafsri yake ni kuwalawiti. Leo unazuia ushoga na ulawiti hapa duniani, huu ni unafiki wa hali ya juu. FIFA safari nyingine waziepuke nchi za Kiarabu kuandaa World cup.
Kumbe mko wengi kiasi hiki?
 
Nanukuu hizo namba 90 toka kwa bwana Baljurashi ......!! 90. Enyi mlio amini! Bila ya shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shet'ani. Basi jiepusheni navyo, ili mpate kufanikiwa. .... Mwisho wa kunukuu...!!

Hapo kwenye BOLD,
1. Wapiga ramli almost wote ni waislamu..!!

2. Quran 45:17 Allah anasema peponi Kuna mito ya pombe yenye radha safi kwa wanywao.... halafu unazuia pombe hapa duniani huu ni unafiki.
 
Huenda kwa sasa wakaonekana ni mashujaa wa kiislamu baada ya kuchachamaa sheria zao hasa za dini zisivunjwe wala kuingiliwa na utamaduni wa magharibi kama ushoga, ulevi,tattoo nk.

Lakini nawaambia kaeni mkijua hili kombe likishaisha msahau kabisa ili kombe kurudi tena kwenye nchi yoyote ya uarabuni.Hakuna tena atayekubali hili kombe lifanyike kwenye mazingira kama haya NEVER NEVER NEVER.
Kwa hiyo mkuu unasapoti ushoga na ulevi uliopindukia? Ukiachana na msimamo mkali wa baadhi ya waislam unaopelekea kutia chuki na hata kuua baadhi ya binadamu wenzao kwa kisingizio cha ukafiri, huwa nazikubali sheria zao maana zitakufanya uishi maisha marefu na yasiyomkwaza na kumkosea Mungu. Kwangu mimi hata kama hakuna tena world cup kwa nchi za kiarabu but Qatar wamefanya jambo jema na neema itawazidia sana kutoka kwa Mungu.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Unaongea Nini wewe? Hebu tuanze na pombe, Quran 45:17 Allah anasema peponi Kuna mito ya pombe yenye radha safi kwa wanywao, halafu unazuia pombe hapa duniani huu ni unafiki. Tuje Quran 2 223 inasema wanawake ni konde zenu ziendeeni konde zenu Kama mpendavyo, tafsri yake ni kuwalawiti. Leo unazuia ushoga na ulawiti hapa duniani, huu ni unafiki wa hali ya juu. FIFA safari nyingine waziepuke nchi za Kiarabu kuandaa World cup.
Usifikiri kwenye uislamu hakuna watu waliobobea kwenye hiyo quran, kwahyo ulitaka tupangiwe mitindo ya kuwaendea wake zetu!? umeshasema konde, konde ni shamba kwa maana sehemu inayotoa mazao na mazao ni watoto kwahyo wewe ukienda chooni huwa unapata watoto kule sio? kuhusu hiyo aya ya pombe uliyotaja makusudio ni wine safi isiyoumiza kichwa wala kuondosha akili kama ufafanuzi ulivyopita kwingine.

Pia kitu huenda kikawa haramu duniani kikahalishwa akherah wala sio ajabu, nasaha zangu acha ushoga na ulawiti.
 
Unaongea Nini wewe? Hebu tuanze na pombe, Quran 45:17 Allah anasema peponi Kuna mito ya pombe yenye radha safi kwa wanywao, halafu unazuia pombe hapa duniani huu ni unafiki. Tuje Quran 2 223 inasema wanawake ni konde zenu ziendeeni konde zenu Kama mpendavyo, tafsri yake ni kuwalawiti. Leo unazuia ushoga na ulawiti hapa duniani, huu ni unafiki wa hali ya juu. FIFA safari nyingine waziepuke nchi za Kiarabu kuandaa World cup.

Wewe ndio umetafsiri huu utumbo heee
 
Huenda kwa sasa wakaonekana ni mashujaa wa kiislamu baada ya kuchachamaa sheria zao hasa za dini zisivunjwe wala kuingiliwa na utamaduni wa magharibi kama ushoga, ulevi,tattoo nk.

Lakini nawaambia kaeni mkijua hili kombe likishaisha msahau kabisa ili kombe kurudi tena kwenye nchi yoyote ya uarabuni.Hakuna tena atayekubali hili kombe lifanyike kwenye mazingira kama haya NEVER NEVER NEVER.
Kwann lisirudi tena, toa sababu
 
Unaongea Nini wewe? Hebu tuanze na pombe, Quran 45:17 Allah anasema peponi Kuna mito ya pombe yenye radha safi kwa wanywao, halafu unazuia pombe hapa duniani huu ni unafiki. Tuje Quran 2 223 inasema wanawake ni konde zenu ziendeeni konde zenu Kama mpendavyo, tafsri yake ni kuwalawiti. Leo unazuia ushoga na ulawiti hapa duniani, huu ni unafiki wa hali ya juu. FIFA safari nyingine waziepuke nchi za Kiarabu kuandaa World cup.
Mungu akulaani kwa uposhaji
 
Duu ushampata mtu wa kukulawiti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongea Nini wewe? Hebu tuanze na pombe, Quran 45:17 Allah anasema peponi Kuna mito ya pombe yenye radha safi kwa wanywao, halafu unazuia pombe hapa duniani huu ni unafiki. Tuje Quran 2 223 inasema wanawake ni konde zenu ziendeeni konde zenu Kama mpendavyo, tafsri yake ni kuwalawiti. Leo unazuia ushoga na ulawiti hapa duniani, huu ni unafiki wa hali ya juu. FIFA safari nyingine waziepuke nchi za Kiarabu kuandaa World cup.
Allah akusamehe bure na kukufungua fikra zako, hivi huogopi kuelezea maneno ya mwenyezi Mungu kwa uelewa wako wa kijinga, wapi Mungu kasema karuhusu kulawiti, astaghafirullah
Ushauri mdogo tu wakati mwingine ni vema kuepuka kusema au kaundika kitu ambacho hukijui kwa ufasaha
 
Waarabu wanampendeza Mungu kwa lipi? Wangekuwa bora hata mbele za Mungu basi wangekuwa juu ya wote maana baraka za Mungu ni hizo kwamba aliyebarikiwa anakuwa juu ya wengi sasa waarabu wana jipya gani?

Israel wenyewe waliongozwa na Mungu hand to hand bado wakashindwa kumpendeza seuze hawa wanakwenda Hijja wanazunguka jiwe jeusi bila kuvaa nguo za ndani? [emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Astaghafirrullah
Fear the day that you will be held accountble for your actions
 
Back
Top Bottom