Nurain
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 2,403
- 5,315
Ona hii Jamaa nayo ilivyobaghoshaUnaongea Nini wewe? Hebu tuanze na pombe, Quran 45:17 Allah anasema peponi Kuna mito ya pombe yenye radha safi kwa wanywao, halafu unazuia pombe hapa duniani huu ni unafiki. Tuje Quran 2 223 inasema wanawake ni konde zenu ziendeeni konde zenu Kama mpendavyo, tafsri yake ni kuwalawiti. Leo unazuia ushoga na ulawiti hapa duniani, huu ni unafiki wa hali ya juu. FIFA safari nyingine waziepuke nchi za Kiarabu kuandaa World cup.